Huyu ndiye mume wangu

Huyu ndiye mume wangu

Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.

Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.

Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.

limbwata ya mkoa gani
 
Umeolewa na msukule wewe. Hiyo ni taadhari tu nimekupa.
 
Bibi mda huu unatakiwa uwe umelala ili jioni ukiamka unakuta babu tayari amesha kupikia chapati.

Maendeleo hayana chama
Mpishi ni mimi yeye anapika kukiwa na imejensi
 
afu hapo hapo utaambiwa mzigo anapiga ki1 tu........ na kwa mweiz mara 1. kwa jinsi anavoionea huruma K!
 
hongera dada sky

watu hawajui wanawake sisi ukicheza na hisia zetu unatukamata,

Mwanaume yoyote anayeonyesha huruma na sisi huwa anazidisha mapenzi kwake....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom