Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
Kama maiti inafufuliwa unashangaa nini mtu kuota mchana?
Kama maiti inafufuliwa unashangaa nini mtu kuota mchana?
Subiri kwanza tukapate tafsiri ya hii ndoto.Nasubiri upande wa pili wa Asprini.
Hapo unaishi na mwanamke mwenzioNi m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.
Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.
Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.
Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Baada ya hapo.... ndio hapo tunasemaga kila ua sio waridi. Kwenye kitanda wema wote hupotea...Hongera bibi, siku zote nlikua sijui kama babu Asprin ni mpemba mpaka leo ulivyosema jumamosi anachukua kikapu chake anaweka kwapani anaenda zake markiti na hasahau hata pilipili.
Maendeleo hayana chama
Nimefanyaje tena mimi babu yako mtiifu? Kuna kitu unataka kuninyima?Babu wewe lol![]()
Kuna kitu unataka kuniomba babu yangu kipenzi?Nimefanyaje tena mimi babu yako mtiifu? Kuna kitu unataka kuninyima?
Huyu sio mwanaume. Huwezi mpata zaidi ya kwenye ndoto.Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.
Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.
Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.
Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Hivi hata dalili huioni?Kuna kitu unataka kuniomba babu yangu kipenzi?
Hapana babu picha siwezagi kusoma naweza maandishi tuHivi hata dalili huioni?
Nasubiri upande wa pili wa Asprini.
Hahahaha lakini ana Upande wa pili..... Nasubiria huo Upande wa pili niujue kabla sijaanza kubunia. Au ndio Jogoo hawiki? Hadi ashtuliwe??
Sent using Jamii Forums mobile app
UmesemaUpande wa pili anapenda vya uvunguni a.k.a kutatua lindas