Huyu ndiye mume wangu

Huyu ndiye mume wangu

Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.

Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.

Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Hakuna aliyekamilika. Jifunze kuyakubali mapungufu yake na ufurahie mazuri yake. Kama anakukwaza mueleze. Mahusiano yenu yanajengwa na nyinyi wawili. Kama hamuongei hizi mambo unakuja kupost huku ni mapuuza na inapaswa uadhibiwe.!
 
Sasa ndiyo nini kuja kuniandika humu Best? 😜

Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.

Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.

Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
 
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.

Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.

Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Suala la kwenda sokon mwenyewe huenda anaogopa akikupa pesa ya mehemez nyingine utamla ganji.
Halaf mwanaume kumsifia eti anajua kupika anafua nguo mara anaosha vyombo huko n kumdharirisha tu mumeo. Sisi wanaume tunamuona kama mume "bwege" tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.

Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.

Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Haaaaaaaaaaaaaaaa mme wenu
 
Baada ya hapo.... ndio hapo tunasemaga kila ua sio waridi. Kwenye kitanda wema wote hupotea...

Maandamano hayana mahaba
Babu kwa heshimu na taadhima naomba unichagulie waridi moja zuri linalonifaa ila lisiwe ni mchepuko wako.

Maendeleo hayana chama
 
Nitajie watatu ambao mtima wako umewatunuku nikuchagulie mmoja
 
Babu mi hata siwajui kwa kweli, wewe ndie unajua tabia za wajukuu wako wote humu, ila nichagulie mwenye aibu aibu kama ledada mi sitaki mcharuko.

Maendeleo hayana chama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom