Huyu ndiye mume wangu

Huyu ndiye mume wangu

Nini kazi yako sasa kama mke.?
Maana jamaa kajioa mwenyewe.
 
Uyo atakuwa malaika tena aliyeshushwa ndani ya wiki moja toka mbinguni mana akikaa sana uyo malaika duniani atafanana na binadamu
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.

Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.

Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom