Huyu ndiye mume wangu

Huyu ndiye mume wangu

Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.

Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.

Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Mimi naomba kuuona upande wa pili sasa.
 
Huyo bushoke huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nipo hivyo pia. Sema sasa upande wa pili sio muongeaji kwa kweli.
 
Sipendi mwanamke anayetaka nifanye majukumu yake, yaan yangu nifanye halafu na yako nifanye ahaaaa big No
 
Only stupid woman will enjoy this.....Tena Yule anaejifanya digitali, msomi ila hana hata chembe ya maadili.....bullshit....hana hata haya
 
Haya weka namba ya mganga wako iwasadie na wenzio.

Maana nimeangalia kwenye rekodi zetu za kiumeni nimeambiwa mwanaume wa aina hiyo mara ya mwisho alionekana huko Nanjilinji enzi za vita ya maji maji.

- KANA -
 
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.

Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.

Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Lile limbwata nililokuletea uniwekee bado lipo au niongeze stock?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom