Huyu ndiye mume wangu

Huyu ndiye mume wangu

Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.

Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.

Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Siku ukibweteka kama wenzako wengi umekwisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayupo tz

Michepuko kila kona,mnagawana ukarimu wake na maradhi👌
 
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.

Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.

Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Umebakiza kumwekea dilido tu kwa nyma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha Babu fulani hivi wa kizungu pale Nairobi anafanya hayo yote alafu nikamchapia,najisikiaga vibaya sana sometimes.
 
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.

Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.

Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Anafanya yote lakini hakukojozi tako mbili chali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom