Kule kwingine tunakubaliana lakini hapa mhh hapanaNi m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.
Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.
Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.
Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.

. HUYO NI WAKO MAMA. KAAAAAH.....!!!!!!!Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.
Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.
Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.
Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Ndio nauliza, ni huyu huyu au kuna mwingineHa ha ha ha Asprin hawez ama?
Huu hutakaa uujueHahahaha lakini ana Upande wa pili..... Nasubiria huo Upande wa pili niujue kabla sijaanza kubunia. Au ndio Jogoo hawiki? Hadi ashtuliwe??
Sent using Jamii Forums mobile app
Aagghh Wau iwe basi story yako haitakua balanced kama ilani ya CCM! HahahahahHuu hutakaa uujue
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.
Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.
Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.
Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Ha ha ha Mzee ana Mahaba mwili mzima
Ha ha ha Mzee ana Mahaba mwili mzima