Kama ni limbwata tutajuaje we sema unampa penzi ganiWao ndiyo maana bado yupo
Hata nikiumwa hakuna haja ya kutafuta ndugu wa kusaidia. Mambo yanakwenda kama kawaida.Nilipokuwa mdogo nilikuwa nachukia sana Bi mkubwa alipokuwa ananifundisha kupika, kufua, kuchota maji, kuosha vyombo, kupiga pasi nguo ili hali Mimi ni mwanaume.
Kumbe alikuwa anajua kwenye maisha kuna wakati unaweza kuoa akina Sky Eclat
Kwa hili namshukuru sana Bi mkubwa, kwani waifu hapati wasiwasi kuhusu watoto kuogeshwa, kufuliwa uniform wala kula kwani ninapokuwa nyumbani natimiza yote hayo hata kama atakuwa amesafiri.
Ule Uzi umepotea?WATUHUMIWA MBONA HAWAJITOKEZI KUJIBU HOJA???
JANA KUNA WADADA WAWILI WALITUHUMIWA HAWAKUTOKEA HADI UZI UMEFIKA PAGE 15 (KWA TUNAOTUMIA PC), HADI UZI UKAPOTEA.

Huo upande wa pili kazima atakuwa anapumuliwa kisogoni.Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.
Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.
Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.
Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
HAUPO AISEEUle Uzi umepotea?
![]()
Absolutely!Hata nikiumwa hakuna haja ya kutafuta ndugu wa kusaidia. Mambo yanakwenda kama kawaida.
Babu Asprin hongera kwa kuunga mkono juhudi za bibi Sky Eclat za kubwia limbwata kwa hiari yako.Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.
Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.
Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.
Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Hongera bibi, siku zote nlikua sijui kama babu Asprin ni mpemba mpaka leo ulivyosema jumamosi anachukua kikapu chake anaweka kwapani anaenda zake markiti na hasahau hata pilipili.No no nguo zangu ninafua na deki ninapiga pia ndugu zake ninawapenda sana.