Huyu ndiye mume wangu

Huyu ndiye mume wangu

huyo ana akili sana hataki akuchoshe ili usiku inakuwa zamu yako kushughulika apate raha ukiwa hujachoka atakuwa anakula mzigo mpaka unaomba pooo nafikiri au vipi maana hapo hujatuweka wazi
 
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.

Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.

Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Upande wa pili ndio natamani kuujua zaidi, si unajua tunapenda kusikia mabaya kunako ngomani hana stamina????
 
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi,baada ya hapa yote uliyoongezea yamenisababishia kupatwa na kizunguzungu...
 
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.

Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.

Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Msubiri kutoka mbinguni,wanaume hatutaki huo ujinga
 
mkuu, naona umeishia sebuleni, laundry na jikoni.
vipi kule chumbani - au ndiyo upande wa pili unaousema?
 
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.

Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.

Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Atakaye like bandiko lako lazima atakuwa mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepata majibu, hana stamina. Kidume kinafanya yote ila kunako 6x6 hawezi chochote, unaishia kuguna tu, hata hivyo vyombo anavyoosha na kufua havikupi furaha..teeh, nimewaza tu dada sky..
That is your guessing.
 
WATUHUMIWA MBONA HAWAJITOKEZI KUJIBU HOJA???

JANA KUNA WADADA WAWILI WALITUHUMIWA HAWAKUTOKEA HADI UZI UMEFIKA PAGE 15 (KWA TUNAOTUMIA PC), HADI UZI UKAPOTEA.
 
Nilipokuwa mdogo nilikuwa nachukia sana Bi mkubwa alipokuwa ananifundisha kupika, kufua, kuchota maji, kuosha vyombo, kupiga pasi nguo ili hali Mimi ni mwanaume.

Kumbe alikuwa anajua kwenye maisha kuna wakati unaweza kuoa akina Sky Eclat
Kwa hili namshukuru sana Bi mkubwa, kwani waifu hapati wasiwasi kuhusu watoto kuogeshwa, kufuliwa uniform wala kula kwani ninapokuwa nyumbani natimiza yote hayo hata kama atakuwa amesafiri.
 
Ni m-Tanzania, hajawahi kunipiga, Hulipia huduma zote ndani kuanzia umeme, maji na gesi. Jumamosi anakwenda sokoni asubuhi, Ana kumbuka mpaka pilipili na ndimu. Anajua kupika hivyo hata nikichelewa sina wasiwasi kuwa atakuwa na njaa.

Nguo zake anafua na kupiga pasi mwenyewe. Ni msafi na anapenda vitu vikae katika mpangilio. Hajali hata kukiwa na wageni anaosha vyombo vyote baada ya kula.

Siku za likizo kwenda kusalimu ndugu na jamaa nauli ni juu yake kwa familia nzima.

Lakini ana upande wa pili pia. Maua yote si mawaridi.
Mbona hujasema unamridhisha vipi kama payback?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom