Huyu mwanaume simuelewi

Huyu mwanaume simuelewi

Translation

Mwanaume kama unajijua ni mweusi,mrefu,una upara(ule wa kunyoa lakini,sio uwaraza) bila kusahau uwe na ndevu jiongeze hapo for them digits

Kipau(o)mbele kitatolewa kwa atakayeomba mchezo mapema zaidi

Tuttyfruity ningekuwa mie ningeendelea kumsubiri nione atamalizaje na mimi,kama aliomba namba huko kwengine ni suala la muda tu....kuwa mvumilivu
🤣🤣🤣🤣Hahahaaaaa
 
2nd date mbona bado ni mapema eti?

1st date dinner lake duluti
2nd date kikwe kuhave fun
3rd date lunch city center kwenye beautiful restaurants
4th date dinner Gran Melia ama Tulia boutique then unaweza niambia ili nianze kujifikiria.

Hahaha what a night mare kwa mabaharia waandamizi.
😂 Mabaharia waandamizi!
 
Teh! Teh!
Ujue romanticism nayo ikizidi ni tatizo lingne? I have a friend, she's super romantic mpaka mwanzoni mwanzoni nikawa nahisi maybe she's lesbian nikawa namkwepa kumbe wala mtoto wa watu ana mahaba yake tu mixer madeko
Kuna lugha ambayo mwanamke akitumia inakua haipendezi au sijui ni haijazoeleka, yani ni lugha ya machalii, hata mwanaume akiitumia wakati mwingine unakua unamuweka kwenye kundi la wanaume machalii au unaweza kusema wahu i flani hivi au sijui tueseme inaondoa ile decency ya mtu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom