Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Tulianza kama marafiki wa faida..Kwa hiyo niwe nasemaje? Tulianza kulana kimasihara?
Tulianza kama marafiki wa faida..Kwa hiyo niwe nasemaje? Tulianza kulana kimasihara?
AiseeeTulianza kama marafiki wa faida..
Marahaba lakini shing' Mia sina.Shikamoo
Hahahaaa,umeleta habari za uchiuchi halafu unakimbia tena!!Sasa bro hili si jukwaa la Mapenzi nenda Huko siasani usinichoshe.
Mkuu, ni mjinga hajitambui,huyo hajui tupo uchumi wa kati.Anajiita pisi kali, anamuita mwanaume chalii.. Ni muhuni huyu.
Kazi kwa sisi mabaharia, demu anaomba buku mbili ya bando tu...hola,2nd date mbona bado ni mapema eti?
1st date dinner lake duluti
2nd date kikwe kuhave fun
3rd date lunch city center kwenye beautiful restaurants
4th date dinner Gran Melia ama Tulia boutique then unaweza niambia ili nianze kujifikiria.
Hahaha what a night mare kwa mabaharia waandamizi.
Umemjubu vema kabisaHivi nyie akina dada mnataka nini mbona hamweleweki? Angekuomba mzigo siku ya pili tu bado ungekuja kuomba ushauri... Sasa cha kufanya mpeleke hotel ukaanze wewe hapo ndo utapata mawazo yako binafsi nini ufanye.
Yap lakin siabudu mapenzi napenda rafiki ambaye tukikaa tunajadili mambo ya maana
Sasa mda wote mwamba ajajishughulisha na wewe alafu unajiita "PISI" iv upo sirias kweli wewe..
Muite kwenu wazazi wako wakiwa hawapo muombe game mtomb*
Yaani wewe ndo ukae juu wanaita be cockrider
Mtombe kwelikweli mpk atoke uoga wa wanawake
Angalau ubadirike dahNiaje wadau. Long time. Mimi mzima kabisa. Mengi yamebadilika since last time I posted here. Anyways tuende direct kwenye mada.
Wiki chache zilizopita nilikutana na mkaka hivi mitaa ya kwetu. He's TALL DARK BALD HAS A BEARD yani in short he's my type. Nilikua natoka jogging nimechoka nikamkuta kapaki mbele ya geti letu ikabidi nimuulize anamsubiri nani pale akanitajia jina la mtu simjui so I had to tell him huyo mtu haishi hapo. Sasa kama ilivyo ada mkikutana na pisi kali lazma muombe namba chalii akaomba buana mm sina hiyana likija kwenye suala la kutoa digits.
Tumechat tumeonana dates za hapa na pale. Juzi dada ake kanialika dinner nikaenda kula msosi ni mtu poa we had chemistry. Wapo wawili tu wazazi wao walishafariki kitambo.
Sasa tatizo nililolileta kwenu huyu chalii ndani ya wiki zote 4 dates zote kaspend pesa nyingi hajawahi hata kunishika mkono achilia mbali kunikiss. I'm trying to go with the flow lakini ustaarabu karibu unanishinda.
Hivi wadau huyu mtu ni muoga, hajavutiwa na mimi au sio riziki? nashindwa kumuelewa kabisa. Ukizingatia sisi sio under 18.
Mnanishauri nifanye nini should I make the first move au niwe cool?
Anyways atakaeniita mzinifu nampiga. Comment za kijumbe sitaki.
Asubuhi njema Watanzania wenzangu.
Marahaba lakini shing' Mia sina.
Maana naona unataka uniuzie shkamoo sasa


unayooo si hiyo hapo