Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,481
- 5,357
Ww hauko serious unaeza poteza bahat kwa kukossa subiraMfa maji

Embu niachie digits bila kusahau Mimi ni mdogo wake gwajimaaNiaje wadau. Long time. Mimi mzima kabisa. Mengi yamebadilika since last time I posted here. Anyways tuende direct kwenye mada.
Wiki chache zilizopita nilikutana na mkaka hivi mitaa ya kwetu. He's TALL DARK BALD HAS A BEARD yani in short he's my type. Nilikua natoka jogging nimechoka nikamkuta kapaki mbele ya geti letu ikabidi nimuulize anamsubiri nani pale akanitajia jina la mtu simjui so I had to tell him huyo mtu haishi hapo. Sasa kama ilivyo ada mkikutana na pisi kali lazma muombe namba chalii akaomba buana mm sina hiyana likija kwenye suala la kutoa digits.
Tumechat tumeonana dates za hapa na pale. Juzi dada ake kanialika dinner nikaenda kula msosi ni mtu poa we had chemistry. Wapo wawili tu wazazi wao walishafariki kitambo.
Sasa tatizo nililolileta kwenu huyu chalii ndani ya wiki zote 4 dates zote kaspend pesa nyingi hajawahi hata kunishika mkono achilia mbali kunikiss. I'm trying to go with the flow lakini ustaarabu karibu unanishinda.
Hivi wadau huyu mtu ni muoga, hajavutiwa na mimi au sio riziki? nashindwa kumuelewa kabisa. Ukizingatia sisi sio under 18.
Mnanishauri nifanye nini should I make the first move au niwe cool?
Anyways atakaeniita mzinifu nampiga. Comment za kijumbe sitaki.
Asubuhi njema Watanzania wenzangu.
Anaanzaj . Kukunyima kwa. MfanoKweli, Ukiwa na gari huwezi kunyimwa number
Umenichekesha sana. Kwann kwetu na sio lodge, hotel au kwake?

Daah huyo ana matatizo, ingekuwa ni mimi ungeleta malalamiko humu kuwa nimeku dry mate kitamboNiaje wadau. Long time. Mimi mzima kabisa. Mengi yamebadilika since last time I posted here. Anyways tuende direct kwenye mada.
Wiki chache zilizopita nilikutana na mkaka hivi mitaa ya kwetu. He's TALL DARK BALD HAS A BEARD yani in short he's my type. Nilikua natoka jogging nimechoka nikamkuta kapaki mbele ya geti letu ikabidi nimuulize anamsubiri nani pale akanitajia jina la mtu simjui so I had to tell him huyo mtu haishi hapo. Sasa kama ilivyo ada mkikutana na pisi kali lazma muombe namba chalii akaomba buana mm sina hiyana likija kwenye suala la kutoa digits.
Tumechat tumeonana dates za hapa na pale. Juzi dada ake kanialika dinner nikaenda kula msosi ni mtu poa we had chemistry. Wapo wawili tu wazazi wao walishafariki kitambo.
Sasa tatizo nililolileta kwenu huyu chalii ndani ya wiki zote 4 dates zote kaspend pesa nyingi hajawahi hata kunishika mkono achilia mbali kunikiss. I'm trying to go with the flow lakini ustaarabu karibu unanishinda.
Hivi wadau huyu mtu ni muoga, hajavutiwa na mimi au sio riziki? nashindwa kumuelewa kabisa. Ukizingatia sisi sio under 18.
Mnanishauri nifanye nini should I make the first move au niwe cool?
Anyways atakaeniita mzinifu nampiga. Comment za kijumbe sitaki.
Asubuhi njema Watanzania wenzangu.

Si umeolewa wewe? Tuttyfruity
Kwenye tunda kimasihara ulisema umeolewa, au nime changanya madesa?Mimi? Hapana
Kwenye tunda kimasihara ulisema umeolewa, au nime changanya madesa?
Good.Umechanganya. Mimi bado nipo nipo
Wanawake wa Leo akiombwa namba na mwanaume akili yake yote ni mapenzi
Sometimes ni urafiki tu , michongo ya maishaNyie wakati wa kuomba number hua mnawaza nini?