Huyu mwanaume simuelewi

Huyu mwanaume simuelewi

Kama umefikiria kulipa fadihila kwa njia hiyo...!!Wewe ni Malaya...!!
 
Hivi nyie akina dada mnataka nini mbona hamweleweki? Angekuomba mzigo siku ya pili tu bado ungekuja kuomba ushauri... Sasa cha kufanya mpeleke hotel ukaanze wewe hapo ndo utapata mawazo yako binafsi nini ufanye.
Hili nalo ni wazo la hekima sana. Kwasababu ukitaka jiuliza unakosa jibu. We umeona waaaapi, umeona waaaapi mwanamke anajua anachokitaka..... Eeeein, we umeona waaapi.....
 
Jaribu kuwa mpole dada yaan we unawaza mapenzi tu unataka mtu mwezi mshajuana an em tulia bhana acha papara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom