Translation
Mwanaume kama unajijua ni mweusi,mrefu,una upara(ule wa kunyoa lakini,sio uwaraza) bila kusahau uwe na ndevu jiongeze hapo for them digits
Kipau(o)mbele kitatolewa kwa atakayeomba mchezo mapema zaidi
Tuttyfruity ningekuwa mie ningeendelea kumsubiri nione atamalizaje na mimi,kama aliomba namba huko kwengine ni suala la muda tu....kuwa mvumilivu

kuna mdau alileta Uzi apa MMU kwa nin wadada wengi wanawapenda playboys.. Na sio wa kaka wastarabu.. Na wapole wapole.. Nais Ndicho unachopitia. Angekua play boy apo hawez kuongea Iv iv tu bila ya kukushika shikaRaha ya mwanaume hata anivute vute alafu niwe nakataa sasa huyu zero. Story tu
Alifanikiwa kukuonja ??Jaman huu uzi ufungwe tu , jamaa enyewe tulishaachana kitambo.
DahJaman huu uzi ufungwe tu , jamaa enyewe tulishaachana kitambo.
Tulionjana.Alifanikiwa kukuonja ??
Kwamba ulimkula sio??Tulionjana.
Well saidTulionjana.
If you know you know 😁Mwanaume kama unajijua ni mweusi,mrefu,una upara(ule wa kunyoa lakini,sio uwaraza) bila kusahau uwe na ndevu jiongeze hapo for them digits
Kipau(o)mbele kitatolewa kwa atakayeomba mchezo mapema zaidi
Sasa Ni zam Yangu.....mind you Mimi sitarembaTulionjana.
Kumbe unataka kushikwa! Pole sana kazi ipoNiaje wadau. Long time. Mimi mzima kabisa. Mengi yamebadilika since last time I posted here. Anyways tuende direct kwenye mada.
Wiki chache zilizopita nilikutana na mkaka hivi mitaa ya kwetu. He's TALL DARK BALD HAS A BEARD yani in short he's my type. Nilikua natoka jogging nimechoka nikamkuta kapaki mbele ya geti letu ikabidi nimuulize anamsubiri nani pale akanitajia jina la mtu simjui so I had to tell him huyo mtu haishi hapo. Sasa kama ilivyo ada mkikutana na pisi kali lazma muombe namba chalii akaomba buana mm sina hiyana likija kwenye suala la kutoa digits.
Tumechat tumeonana dates za hapa na pale. Juzi dada ake kanialika dinner nikaenda kula msosi ni mtu poa we had chemistry. Wapo wawili tu wazazi wao walishafariki kitambo.
Sasa tatizo nililolileta kwenu huyu chalii ndani ya wiki zote 4 dates zote kaspend pesa nyingi hajawahi hata kunishika mkono achilia mbali kunikiss. I'm trying to go with the flow lakini ustaarabu karibu unanishinda.
Hivi wadau huyu mtu ni muoga, hajavutiwa na mimi au sio riziki? nashindwa kumuelewa kabisa. Ukizingatia sisi sio under 18.
Mnanishauri nifanye nini should I make the first move au niwe cool?
Anyways atakaeniita mzinifu nampiga. Comment za kijumbe sitaki.
Asubuhi njema Watanzania wenzangu.
Huyu anapenda sana ile michezo hilo lipo waziHivi nyie akina dada mnataka nini mbona hamweleweki? Angekuomba mzigo siku ya pili tu bado ungekuja kuomba ushauri... Sasa cha kufanya mpeleke hotel ukaanze wewe hapo ndo utapata mawazo yako binafsi nini ufanye.
Kumbe!Raha ya mwanaume hata anivute vute alafu niwe nakataa sasa huyu zero. Story tu