Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Hahahaahahah.Kama ni in crime naomba nikae pembeni.
Ni leo aisee.Hii siku nayo ipo?
Ndo leo?
HahahahaahahahahahahahahahahaahahHii siku nayo ipo?
Ndo leo?
Mnamaliza kuswali saa ngapi? Nikushtue ama utajishtua mwenyeweKweli eee???
Basi ngoja watu watoke kuswali ijumaa tufanye mambo
Sogea karibu na wakala kabisa. Si unajua temaNi leo aisee.
Yan hapo Don Clericuzio amejisahaulisha kabisa wakati anaelewa kila kituHahahahaahahahahahahahahahahaahah
Ipo mzee mbona sasa na wewe unajisahaulisha??
Depal Huyu don vipi???
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mnamaliza kuswali saa ngapi? Nikushtue ama utajishtua mwenyewe
Mnamaliza kuswali saa ngapi? Nikushtue ama utajishtua mwenyewe
Baada ya swala nitasogea 😜Sogea karibu na wakala kabisa. Si unajua tema
Hahahahaahahahahahahahahahahaahah
Ipo mzee mbona sasa na wewe unajisahaulisha??
Depal Huyu don vipi???
Mwanangu wacha tu ntajishtua mwenyewe hahahahRelief Mirzska itabidi umshtue tu, hachelewi kujisahaulisha huyu.
Sema we nakuaminia. Hujawahi kuwa msahaulifu...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyoko sana wewe hahahaahah
Fanya hivyo mkuuMimi nitakuwa nimesahau, ngoja nifanye rejea.
Kuna wengine wasahaulifu???Sema we nakuaminia. Hujawahi kuwa msahaulifu...
Twendeni chimbo aiseee.Hivi huu uzi ndo tumeimiliki au?
Kwahiyo unataka kuvunja u partnership? Kisa Don Clericuzio amekataa u crime!!
Mwaka huu hujawahi kabisa ee?Sawa, nina uhakika hili nitalishinda.
Iwe kuanzia January 2020.