Hivi inakuaje binadamu mwenzio anakuwinda maisha namna hii?

FORTUNE JR

Member
Mar 20, 2021
69
336
Wakuu usiku wa leo umekua mrefu sana kwa upande wangu, kichwa kimewaka moto haswa, nikaona bora nije hapa kwenye familia yangu ya JF walau ni share hili linalonikumba kabla sijachukua maamuzi binafsi, “Hoja ya wengi ni sauti ya Mungu.

na pia huenda kupitia hili linalonikuta likaokowa na wengine kama sio leo basi kesho kwakua maisha bado yanaendelea.

Ni ivi wadau, Mwakajana mwezi wa 8 nilikua naishi mtaa fulani kwenye Nyumba ya kupanga . Kuna siku nilienda Dukani kwa ndugu yangu mmoja ivi, yeye anaduka la Furnitures .

Lengo lilikua ninunue Dressing Table na Meza ya Tv, Kwaio sikupata shida nikaona ni bora niende kwa huyu ndugu yangu kwasababu nilikuwa na mazoea nae sana kifupi tuliaminiana sana.

Nilifika Dukani kwake Nikachagua Meza na Dressing Table niliyoipenda then baada ya kufanya malipo na ya delivery nikaondoka kwa mapatano ya yeye kunilete Mzigo nyumbani .

Alipajua sehemu ninayoishi na mara kadhaa alikuja kunisalimu na Furnitures zote zangu zililetwa na yeye mwenyewe hivyo sikupata shaka.

Na pia Dressing Table ilikua na marekebisho kidogo hivo nikamwambia aende nayo taratibu tu ikiwa sawa ataniletea.

Kwa bahati mbaya siku hio hio jioni mimi nilipata Safari ya takribani siku 5. Ikabidi nimpigie simu Kumjulisha, tukakubaliana kama akileta basi Funguo atazikuta kwa Mama mwenye Nyumba ambaye nae alikua anaishi jilani tu.

Kuna issue nyingine nilitaka anifanyie pale ghetto, hivyo tukapeana maelekezo kwa simu na jinsi atakavyoweka hio Dressing Table.

Nilianza safari yangu Majira kama ya saa 12 jioni. Kufikia mishale ya saa 1 jioni nikapokea ujumbe kwa namba mpya akidai yeye X Alijitaja jina la huyu ndugu yangu wa Furnitures,

Akadai ashamaliza kuiweka sawa dressing Table so anataka kuleta mzigo mda huo kwasababu siku mbili tatu zijazo atakua busy sana. Kuna chatting zikaendelea kidogo na yote tuliyozungumza yalikua mwendelezo wa yale tulioongea mchana.

So hata kama alitumia namba mpya haikunifanya kupata hofu kwasababu ali link mle mle na mapatano yetu na pia Mama mwenye Nyumba alimjua huyu ndugu yangu vizur kabisa, hivo nikamwambia aende tu Funguo atazikuta kwa Mama mwenye Nyumba akimaliza aziludishe, nkamjulisha na huyu Mama .

Wakuu ni ivi niliibiwa ghetto lote, yani kila kitu cha msingi Laptop, sabufa, Tv, begi lote la nguo n.k zilibebwa.
Mchezo ulikua hivi , Ile namba mpya hakuwa huyu ndugu yangu Wa Furnitures. Huyu Mwizi alipofika maeneo ya kwa Mama mwenye Nyumba alimtuma mtoto mmoja ivi wa mtaani kwetu akabebe funguo, bad enough alikua ni mdogo mdogo sana hivyo licha ya kumbana mtoto hakuonyesha kumtambua uyo mwizi.

Ni kama siku ya kufa nyani miti huteleza hata uyu mama alitoa Funguo ki wepesi tu kwasababu nilikwishampa taarifa. Anakuja kushtuka kwanini Funguo hazirudi mchezo ushaungua.

Nilienda polisi, na kwaakili ya Fasta polisi nao walidai huenda Huyu jamaa wa Furniture kaniuza, hata mimi niliwaza hivo kwasababu ni mimi na yeye pekee tuliongea swala hili, hata Mama mwenye Nyumba nlimwambia tu , mtu fulani atakuja kuchukua Fungo basi.

issue kubwa ikawa baina yangu na Jamaa wa Furniture, lakini jamaa akawa anakili kimsititizo kabisa kama simu yake hakuna mtu alimpa, mda wote alikua nayo mwenyewe na alikili kuwa mda wakati nazungumza nae kwa simu alikua pekeake.

Ingiwa binafsi nilipata wakati Mgumu sana kuamini kama ni yeye kwasababu ni mtu ninae aminiana nae sana na kiuhalisia mara pengi yeye alinisaidia zaidi mimi kutokana na kuwa na nafasi nzuri tu kimaisha kuliko mimi, kifupi alinichukulia kama kijana wake

Maswali yasiyokua na majibu yalikua Huyu mwizi alijua vipi mazungumzo yetu hata ku link kila kitu tulichozungumza na huyu ndugu yangu?

Nikaachana na io Case nikaanza maisha mapya, nikahama na mtaa , ingawa kilikua kipindi kigumu kwa vile naanza upya kujitafuta lakini sikuacha kujiuliza mwizi alijuaje mazungumzo yetu??

Tukio la pili

Baada ya miezi mitatu kupita nikawa nimejipata kiasi chake, nilipata kamtaji nika plan nifungue frame niwe nauza nafaka . Nikalipia frame nikaagiza mchele kutoka mbeya.

Kuna rafiki ang wa damu nime graduate nae chuo, yeye ni mzaliwa wa Mbeya na hata familia yao wanajihusisha na kilimo cha Mpunga hivo alikua msaada kwangu katika hili.

Nililipia Gharama za usafiri lakini za mchele huyu rafiki angu alidai nipate mzigo kwanza then nitafanya malipo.
Mungu mkubwa mzigo ukafika salama, Mchele mzuri kabisa wengi walisifia.

Sasa ikabaki jukumu kwangu kulipia mzigo , nilichukua Tani nyingi kiasi kwakua sikutaka utani kabisa nilitaka nipige kazi vilivyo. Ilinigharimu kama Laki 8 na elfu kadhaa kuelekea 9 .

Nikawasiliana na rafiki angu nikashukuru maana wengi walisifia nimefanyiwa fair sana jamaa katuma mchele mzuri sana. Then maongezi ya malipo yakaendelea.

Nilimpandia jamaa hewani nikitaka kujua nitume kwa namba gani? Jamaa akasema Anaomba nimsubiri kidogo kuna namba atanipa nitume kwakua yupo kijijini na wakala Wa Halotel ni changamoto na yeye ana Halotel

hivo atanipa ya voda ya Mzazi wake. Na kifupi ule mchele aliyoniuzia ni yalikua mavuno ya shamba lao kama familia.

Nimekaa kama Dakika 3 ivi ujumbe ukaja kwenye simu Yangu . Umeandika kwakuanza kunitaja jina langu “ X naomba nitumie humu, hii namba ya Mama Yangu mimi ni Mtu fulani(jina la jamaa angu) Jina litakuja X X . Jina la mwanamke.

Na mimi bahati mbaya sikubahatika kujua jina la mamake na jamaa, at least angekua Baba ningeona mfanano wa Sir name

Si nikatuma laki 8 na Chenchi 😒. Nimekaa kama dakika kadhaa ivi jamaa mbona hasemi kama kapata? anyway ngoja nimlukie hewani , Jamaa anashangaa, mbona sijakutumia namba bado😳, kuludi hewani kucheki ile namba niliyotuma ni manyoya.

Aya hii naandika machozi yakinitoka, mtoto wa kimaskini mimi, nimewakosea nini walimwengu 😢😢🥺.

Ni ivi wakuu wakati nafanya mapatano ya biashara na huyu jamaa binafsi nilikua nipo pekeangu angu na binafsi ninapo pangaga mipango yangu ya kujikwamua sipendagi kabisa kuonesha kwa watu.

Upande wa pili jamaa nae anashangaa, kaka mbona mimi maongezi yangu yote nafanya na wewe niko nyumbani na wazazi tu, isitoshe kwetu ni kijijini .

Mara upande wa pili simu inachukuliwa na mamake wa rafiki angu

Mama: Halooo kijana Mwogope Mungu wewe, unataka kutudhurumu sio?(Sauti yake ni kama inataka kuambatana na kilio)

Mimi: Mamaa Usiseme ivo 😒. Nathubutu vipi kufanya hivo mmenisaidia sana Siwezi kufanya ivo
Mama: Nilikuchukulia kama kijana wangu , Sasa vipi unaleta uhuni. Nakushtaki polisi kijana

Mimi: Mamaaaa ( Machozi yananilenga nimepigwa na bumbuazi.

Baadae kidogo nikamludia tena jamaa nikamwambia, naomba mtulize Mama kuna akiba Nilibaki nayo nitatuma kesho laki 8. (Lakini kiuhalisia nina elfu 30 tu).

Maswali kichwani kibao , Vipi ni Mshikaji wangu na Familia yake wamenidhurumu?, lakini huu uvujaji wa Mawasiliano yangu Ya simu, inakujaje ? Mbona ni kama ile ya miezi mi 3 iliyopita??

Nikawa sina jinsi, binafsi nikabidi kuingia maamuzi magumu. Nikamtafuta mtu nikamuuzia mchele wote , nikamwachia na frame juu na kodi nilishalipa miezi kadhaa,

Nilipata fedha ambayo inalingana na deni, So nikalipa nikabaki mtupu sina kitu na hasara juu😒

Wazo la kuhakiwa likanijia. Nikabidi nibadili namba mbaka Simu sikuitaka , watu wangu wa karibu nikawapa namba yangu Mpya na wao wakaendelea ku share kifupi ile cycle yangu ya mwanzo ikaludi

Wakuu nisiwachoshe ni ivi, Majuzi tena kuna mdogo angu kapelekwa hospital binafsi alipatwa na changamoto kubwa kiasi, kuna Doctor 1 na nurse walimpokea .

Doctor wa kiume nilikua na namba yake,. toka mdogo angu kalazwa nawasiliana nae ananipa mwendelezo wa hali ya dogo.

Juzi nimempigia Tumewasiliana nae kanipa maendeleo ya Dogo na kuna Gharama alikua ananijulisha niziandae.

Jana mapema nimempigia simu Dogo, kanambia anavojisikia na akanitajia huduma zote Alizopata. Then akadai Doctor katoka asubuhi ,hivo yuko na nesi.

Baada ya mda kidogo napigiwa Simu new namba. Mbaya zaidi nipo kwenye Daladala kuna kelele za mziki.
“ Habari Kanitaja jina , sorry nimekupigia hii ni namba yangu pia , mimi ni Doctor x mdogo ako leo anaendelea vizuri nimemhudumia hivi na iki na kile, lakini tunaomba ufanye malipo kwanza.
Mimi nimetoka nimemwacha nesi naomba nikitumie namba ya Nesi ufanye malipo.

Yani kaongea vyote ambavyo Dogo nae aliongea kahudumiwa. Bad luck ni kwamba sauti sikung’amua utofauti kutokana na mimi mwenye niko kwenye kelele na kifupi yule Doctor nimeanza kufanya nae mawasiliano wiki hili tu .
Wakuu nilikua na laki na 80 kwenye Simu nikatuma kwa namba niliyopewa.
Alasairi nampigia Doctor uzuri kwa namba yake ile ya mwazo anashanga kuwa tumeongea na mimi Asubuhi 😒

Namalizia apa wakuu, bila shaka niko hacked . Na hii namba niliyotuma hela bado iko hewani sabu niliahidi nitaongeza hela , nishamshtukia nazidi kumzubaisha.

Ni kwamba wanasajili lain wananipiga tukio wanatupa ila kuna mmoja na mashaka ndo master mind na huenda ndo kanihaki na bila shaka ni mtu wangu wa karibu.

Nimeenda kwenye kituo kidogo cha polisi kuwapa hii namba ambayo bado namzubaisha ila naona kabisa nitaendelea kuingia Cost kubwa zaidi maana process ni nyingi.

Wakuu mnaweza kunihisi mzembe ila mtu kujua unachowasiliana, unaewasiliana nae, mipango yako na watu wako wa karibu ni vita mbaya sana.
Anaku target sehem ambayo ningumu kushtuka . Na anategemea kipindi nimepona kidonda cha nyuma ananiongeza kingine.

Kuna member alishatoa uzi humu ndani jinsi ya kujua kama uko under hacked alisema ni *#61#. But io njia kidogo inanichanganya.

Naambatanisha Screen shoot, kama kuna wajuvi mtang’amua kitu, na vipi na mjuaje alie ni hack??? Nitashukuru.
Au naweza vipi kumbanisha uyu chawa anae Dhorotesha maisha yangu . “Naamini kinilacho ki nguoni mwangu”.
EAEC8FA0-C78A-4C91-A9FE-D1EF5DFC6354.png
 
kwahyo ukiitwa jina tu unatuma pesa kweli mazuzu bado wapo..... mimi malipo mpka nifanye basi nishahakikisha tena napiga tunaongea unanipa maelezo ndipo natuma swala la sauti sjui ujinga gani hayo sielewi.... habari za ntakupa namba unitumie yaani ukituma namba usiponiligia na namba hiyo hela yako sikupi
 
inaonekana anayekuibia ni mtu 1 kwa matukio yote matatu
 
Nahisi watu wa mtandao
Mimi nina laini ya airtel inapitiishaga peaa nyingi haipiti siku sijapigiwa na wale jamaa wa kusema kutoka makao makuu
Hata 3 times in a day
Case ya pili ni hii
Kuna dada alitapeliwa milion 7
Case yake inafanana na yako
Aliongea na dada ake kuhusu pesa flani atamtumia
Baada ya mda akapokea msg kwamba tuma hiyo ela namba hii sim inashida
Akawa anampigia namba yake ikawa haiiti(ni kama waliiblock kwa mda)
So akatuma ela
Ile ela baada ya kufika tu akampigia tena dada yake kama kapata sim ikaita dada yake anashangaa
Kwenda polis kutrace hao jamaa wapo wengi na wanacase kila kituo
 
Da

Daaa aseee 😢
 
Wakuu usiku wa leo umekua mrefu sana kwa upande wangu, kichwa kimewaka moto haswa, nikaona bora nije hapa kwenye familia yangu ya JF walau ni share hili linalonikumba kabla sijachukua maamuzi binafsi, “Hoja ya wengi ni sauti ya Mungu.

na pia huenda kupitia hili linalonikuta likaokowa na wengine kama sio leo basi kesho kwakua maisha bado yanaendelea.

Ni ivi wadau, Mwakajana mwezi wa 8 nilikua naishi mtaa fulani kwenye Nyumba ya kupanga . Kuna siku nilienda Dukani kwa ndugu yangu mmoja ivi, yeye anaduka la Furnitures .

Lengo lilikua ninunue Dressing Table na Meza ya Tv, Kwaio sikupata shida nikaona ni bora niende kwa huyu ndugu yangu kwasababu nilikuwa na mazoea nae sana kifupi tuliaminiana sana.

Nilifika Dukani kwake Nikachagua Meza na Dressing Table niliyoipenda then baada ya kufanya malipo na ya delivery nikaondoka kwa mapatano ya yeye kunilete Mzigo nyumbani .

Alipajua sehemu ninayoishi na mara kadhaa alikuja kunisalimu na Furnitures zote zangu zililetwa na yeye mwenyewe hivyo sikupata shaka.

Na pia Dressing Table ilikua na marekebisho kidogo hivo nikamwambia aende nayo taratibu tu ikiwa sawa ataniletea.

Kwa bahati mbaya siku hio hio jioni mimi nilipata Safari ya takribani siku 5. Ikabidi nimpigie simu Kumjulisha, tukakubaliana kama akileta basi Funguo atazikuta kwa Mama mwenye Nyumba ambaye nae alikua anaishi jilani tu.

Kuna issue nyingine nilitaka anifanyie pale ghetto, hivyo tukapeana maelekezo kwa simu na jinsi atakavyoweka hio Dressing Table.

Nilianza safari yangu Majira kama ya saa 12 jioni. Kufikia mishale ya saa 1 jioni nikapokea ujumbe kwa namba mpya akidai yeye X Alijitaja jina la huyu ndugu yangu wa Furnitures,

Akadai ashamaliza kuiweka sawa dressing Table so anataka kuleta mzigo mda huo kwasababu siku mbili tatu zijazo atakua busy sana. Kuna chatting zikaendelea kidogo na yote tuliyozungumza yalikua mwendelezo wa yale tulioongea mchana.

So hata kama alitumia namba mpya haikunifanya kupata hofu kwasababu ali link mle mle na mapatano yetu na pia Mama mwenye Nyumba alimjua huyu ndugu yangu vizur kabisa, hivo nikamwambia aende tu Funguo atazikuta kwa Mama mwenye Nyumba akimaliza aziludishe, nkamjulisha na huyu Mama .

Wakuu ni ivi niliibiwa ghetto lote, yani kila kitu cha msingi Laptop, sabufa, Tv, begi lote la nguo n.k zilibebwa.
Mchezo ulikua hivi , Ile namba mpya hakuwa huyu ndugu yangu Wa Furnitures. Huyu Mwizi alipofika maeneo ya kwa Mama mwenye Nyumba alimtuma mtoto mmoja ivi wa mtaani kwetu akabebe funguo, bad enough alikua ni mdogo mdogo sana hivyo licha ya kumbana mtoto hakuonyesha kumtambua uyo mwizi.

Ni kama siku ya kufa nyani miti huteleza hata uyu mama alitoa Funguo ki wepesi tu kwasababu nilikwishampa taarifa. Anakuja kushtuka kwanini Funguo hazirudi mchezo ushaungua.

Nilienda polisi, na kwaakili ya Fasta polisi nao walidai huenda Huyu jamaa wa Furniture kaniuza, hata mimi niliwaza hivo kwasababu ni mimi na yeye pekee tuliongea swala hili, hata Mama mwenye Nyumba nlimwambia tu , mtu fulani atakuja kuchukua Fungo basi.

issue kubwa ikawa baina yangu na Jamaa wa Furniture, lakini jamaa akawa anakili kimsititizo kabisa kama simu yake hakuna mtu alimpa, mda wote alikua nayo mwenyewe na alikili kuwa mda wakati nazungumza nae kwa simu alikua pekeake.

Ingiwa binafsi nilipata wakati Mgumu sana kuamini kama ni yeye kwasababu ni mtu ninae aminiana nae sana na kiuhalisia mara pengi yeye alinisaidia zaidi mimi kutokana na kuwa na nafasi nzuri tu kimaisha kuliko mimi, kifupi alinichukulia kama kijana wake

Maswali yasiyokua na majibu yalikua Huyu mwizi alijua vipi mazungumzo yetu hata ku link kila kitu tulichozungumza na huyu ndugu yangu?

Nikaachana na io Case nikaanza maisha mapya, nikahama na mtaa , ingawa kilikua kipindi kigumu kwa vile naanza upya kujitafuta lakini sikuacha kujiuliza mwizi alijuaje mazungumzo yetu??

Tukio la pili

Baada ya miezi mitatu kupita nikawa nimejipata kiasi chake, nilipata kamtaji nika plan nifungue frame niwe nauza nafaka . Nikalipia frame nikaagiza mchele kutoka mbeya.

Kuna rafiki ang wa damu nime graduate nae chuo, yeye ni mzaliwa wa Mbeya na hata familia yao wanajihusisha na kilimo cha Mpunga hivo alikua msaada kwangu katika hili.

Nililipia Gharama za usafiri lakini za mchele huyu rafiki angu alidai nipate mzigo kwanza then nitafanya malipo.
Mungu mkubwa mzigo ukafika salama, Mchele mzuri kabisa wengi walisifia.

Sasa ikabaki jukumu kwangu kulipia mzigo , nilichukua Tani nyingi kiasi kwakua sikutaka utani kabisa nilitaka nipige kazi vilivyo. Ilinigharimu kama Laki 8 na elfu kadhaa kuelekea 9 .

Nikawasiliana na rafiki angu nikashukuru maana wengi walisifia nimefanyiwa fair sana jamaa katuma mchele mzuri sana. Then maongezi ya malipo yakaendelea.

Nilimpandia jamaa hewani nikitaka kujua nitume kwa namba gani? Jamaa akasema Anaomba nimsubiri kidogo kuna namba atanipa nitume kwakua yupo kijijini na wakala Wa Halotel ni changamoto na yeye ana Halotel

hivo atanipa ya voda ya Mzazi wake. Na kifupi ule mchele aliyoniuzia ni yalikua mavuno ya shamba lao kama familia.

Nimekaa kama Dakika 3 ivi ujumbe ukaja kwenye simu Yangu . Umeandika kwakuanza kunitaja jina langu “ X naomba nitumie humu, hii namba ya Mama Yangu mimi ni Mtu fulani(jina la jamaa angu) Jina litakuja X X . Jina la mwanamke.

Na mimi bahati mbaya sikubahatika kujua jina la mamake na jamaa, at least angekua Baba ningeona mfanano wa Sir name

Si nikatuma laki 8 na Chenchi . Nimekaa kama dakika kadhaa ivi jamaa mbona hasemi kama kapata? anyway ngoja nimlukie hewani , Jamaa anashangaa, mbona sijakutumia namba bado, kuludi hewani kucheki ile namba niliyotuma ni manyoya.

Aya hii naandika machozi yakinitoka, mtoto wa kimaskini mimi, nimewakosea nini walimwengu .

Ni ivi wakuu wakati nafanya mapatano ya biashara na huyu jamaa binafsi nilikua nipo pekeangu angu na binafsi ninapo pangaga mipango yangu ya kujikwamua sipendagi kabisa kuonesha kwa watu.

Upande wa pili jamaa nae anashangaa, kaka mbona mimi maongezi yangu yote nafanya na wewe niko nyumbani na wazazi tu, isitoshe kwetu ni kijijini .

Mara upande wa pili simu inachukuliwa na mamake wa rafiki angu

Mama: Halooo kijana Mwogope Mungu wewe, unataka kutudhurumu sio?(Sauti yake ni kama inataka kuambatana na kilio)

Mimi: Mamaa Usiseme ivo . Nathubutu vipi kufanya hivo mmenisaidia sana Siwezi kufanya ivo
Mama: Nilikuchukulia kama kijana wangu , Sasa vipi unaleta uhuni. Nakushtaki polisi kijana

Mimi: Mamaaaa ( Machozi yananilenga nimepigwa na bumbuazi.

Baadae kidogo nikamludia tena jamaa nikamwambia, naomba mtulize Mama kuna akiba Nilibaki nayo nitatuma kesho laki 8. (Lakini kiuhalisia nina elfu 30 tu).

Maswali kichwani kibao , Vipi ni Mshikaji wangu na Familia yake wamenidhurumu?, lakini huu uvujaji wa Mawasiliano yangu Ya simu, inakujaje ? Mbona ni kama ile ya miezi mi 3 iliyopita??

Nikawa sina jinsi, binafsi nikabidi kuingia maamuzi magumu. Nikamtafuta mtu nikamuuzia mchele wote , nikamwachia na frame juu na kodi nilishalipa miezi kadhaa,

Nilipata fedha ambayo inalingana na deni, So nikalipa nikabaki mtupu sina kitu na hasara juu

Wazo la kuhakiwa likanijia. Nikabidi nibadili namba mbaka Simu sikuitaka , watu wangu wa karibu nikawapa namba yangu Mpya na wao wakaendelea ku share kifupi ile cycle yangu ya mwanzo ikaludi

Wakuu nisiwachoshe ni ivi, Majuzi tena kuna mdogo angu kapelekwa hospital binafsi alipatwa na changamoto kubwa kiasi, kuna Doctor 1 na nurse walimpokea .

Doctor wa kiume nilikua na namba yake,. toka mdogo angu kalazwa nawasiliana nae ananipa mwendelezo wa hali ya dogo.

Juzi nimempigia Tumewasiliana nae kanipa maendeleo ya Dogo na kuna Gharama alikua ananijulisha niziandae.

Jana mapema nimempigia simu Dogo, kanambia anavojisikia na akanitajia huduma zote Alizopata. Then akadai Doctor katoka asubuhi ,hivo yuko na nesi.

Baada ya mda kidogo napigiwa Simu new namba. Mbaya zaidi nipo kwenye Daladala kuna kelele za mziki.
“ Habari Kanitaja jina , sorry nimekupigia hii ni namba yangu pia , mimi ni Doctor x mdogo ako leo anaendelea vizuri nimemhudumia hivi na iki na kile, lakini tunaomba ufanye malipo kwanza.
Mimi nimetoka nimemwacha nesi naomba nikitumie namba ya Nesi ufanye malipo.

Yani kaongea vyote ambavyo Dogo nae aliongea kahudumiwa. Bad luck ni kwamba sauti sikung’amua utofauti kutokana na mimi mwenye niko kwenye kelele na kifupi yule Doctor nimeanza kufanya nae mawasiliano wiki hili tu .
Wakuu nilikua na laki na 80 kwenye Simu nikatuma kwa namba niliyopewa.
Alasairi nampigia Doctor uzuri kwa namba yake ile ya mwazo anashanga kuwa tumeongea na mimi Asubuhi

Namalizia apa wakuu, bila shaka niko hacked . Na hii namba niliyotuma hela bado iko hewani sabu niliahidi nitaongeza hela , nishamshtukia nazidi kumzubaisha.

Ni kwamba wanasajili lain wananipiga tukio wanatupa ila kuna mmoja na mashaka ndo master mind na huenda ndo kanihaki na bila shaka ni mtu wangu wa karibu.

Nimeenda kwenye kituo kidogo cha polisi kuwapa hii namba ambayo bado namzubaisha ila naona kabisa nitaendelea kuingia Cost kubwa zaidi maana process ni nyingi.

Wakuu mnaweza kunihisi mzembe ila mtu kujua unachowasiliana, unaewasiliana nae, mipango yako na watu wako wa karibu ni vita mbaya sana.
Anaku target sehem ambayo ningumu kushtuka . Na anategemea kipindi nimepona kidonda cha nyuma ananiongeza kingine.

Kuna member alishatoa uzi humu ndani jinsi ya kujua kama uko under hacked alisema ni *#61#. But io njia kidogo inanichanganya.

Naambatanisha Screen shoot, kama kuna wajuvi mtang’amua kitu, na vipi na mjuaje alie ni hack??? Nitashukuru.
Au naweza vipi kumbanisha uyu chawa anae Dhorotesha maisha yangu . “Naamini kinilacho ki nguoni mwangu”.
Kama nikweli haya basi wewe mwenyewe una umbulula asee
 
Tani nyingi laki 8 mpaka 9? Chai hii jamanani, unajua 1t ni 1000Kg, kwa hiyo kwa bei ya 2000 kwa kg, tani 1 peke take ni 2m.
 
Back
Top Bottom