Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,857
- 89,753
Unatugombanisha e?
Teh! Teh!Wanted to say same thing, she does't sounds romantic
Wapo mkuu believe me.Aisee nielekeze walipo mkuu nikaopoe hata mmoja nione ladha yake katika mapenzi.
Maana mademu wengi wa sasa ni mbigiri 😂😂😂! Demu anataka awe na wewe ili umsolvie mashida yake ukija kumpata mwenye moyo wa kukupa hata boxer unashukuru!
Mbona nilishaacha hiyo tabia toka siku ile ulipotaka kuniacha?
Mimi nawakubali sana.Bora umetutetea..halafu tumetofautiana tuttyfruity amekosa tu uvumilivu lakin huyo mwanaume anaonekana ni the best hana papara.
Naunga mkono hojashida kubwa ni moja, wadada mnajua kuigiza sana siku za mwanzo za date, huenda unavojiweka kahisi we ni wife matirio hivo hataki kurupuka juu yako, sasa kwa kua kuigiza huchosha ndo maana ushaanza mfikiria vibaya.
wanaume tupo hivi mwanamke tunaemtamani ndo hua tunamshobokea haraka bt tunaempenda hua hatuna haraka maana hua tunahofia kumpoteza, huyo jamaa ni rijali tena siku akikugegeda utaleta hapa mrejesho.
Mbona unanipita kila sikuMimi nawakubali sana.
Halafu nimekutafuta sana aiseeee duh!

Itabidi uzoee.Bora iwe kusahau aisee, kujisahaulisha itauma zaidi.
Kwani mtagombana kwa kauli yangu??? HahahaahahaUnatugombanisha e?
Ukiona unahitaji sana kufanyia kazi hisia zako basi mtoe out wewe
Na hapo ndio nakupendea sasa.Teh! Teh!
Ujue romanticism nayo ikizidi ni tatizo lingne? I have a friend, she's super romantic mpaka mwanzoni mwanzoni nikawa nahisi maybe she's lesbian nikawa namkwepa kumbe wala mtoto wa watu ana mahaba yake tu mixer madeko
Jamaa kakutana na kahaba, sasa huenda keshashitukia mchezoHivi nyie akina dada mnataka nini mbona hamweleweki? Angekuomba mzigo siku ya pili tu bado ungekuja kuomba ushauri... Sasa cha kufanya mpeleke hotel ukaanze wewe hapo ndo utapata mawazo yako binafsi nini ufanye.
Tukitulia sana ndio kama vile mnatuona sote hamisi
Kweli?nitakuonesha sehemu unayofanya hivyo
Kwani mtagombana kwa kauli yangu??? Hahahaahaha
Kweli?? Sijakuona ndugu yangu.Mbona unanipita kila siku![]()
In crime bro.
Matukio si unajua tena life fupi
Huu uchochezi 😜
Itabidi uzoee.
Happy international beer day 🍻
Kweli eee???Hapana sio wote tuko kama Tuttyfruity