Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Case closedNipo nashangaa tu hapa
Case closedNipo nashangaa tu hapa
Nakusalimu
kumbe kijinyanya29 yrs
HahaahhahhahahahahahahUnaanza kujisahaulisha mapema yote hii?
Hahha polisi wanaeza kunipiga vibao kwa kuwapotezea mda. Ndo mana nimelileta huku.
Hamna namna
Haha crime is just a slang tu.
Weka basi business plan mezani tuone mambo yanavyokwenda myb in the future twaweza kuwa partners.
Naona umeamua kufukua makaburi, hili swala tumeshalimaliza siku nyingi sana.
Nalo ni la zamani pia.
Kwahiyo sisi ndio umeamua utupotezee mudaHahha polisi wanaeza kunipiga vibao kwa kuwapotezea mda. Ndo mana nimelileta huku.



Anafuata utaratibu,ila wewe ndio mharibifu,subiri akishakuoa utajua kila kitu haraka za nini...?Niaje wadau. Long time. Mimi mzima kabisa. Mengi yamebadilika since last time I posted here. Anyways tuende direct kwenye mada.
Wiki chache zilizopita nilikutana na mkaka hivi mitaa ya kwetu. He's TALL DARK BALD HAS A BEARD yani in short he's my type. Nilikua natoka jogging nimechoka nikamkuta kapaki mbele ya geti letu ikabidi nimuulize anamsubiri nani pale akanitajia jina la mtu simjui so I had to tell him huyo mtu haishi hapo. Sasa kama ilivyo ada mkikutana na pisi kali lazma muombe namba chalii akaomba buana mm sina hiyana likija kwenye swala la kutoa digits.
Tumechat tumeonana dates za hapa na pale. Juzi dada ake kanialika dinner nikaenda kula msosi ni mtu poa we had chemistry. Wapo wawili tu wazazi wao walishafariki kitambo.
Sasa tatizo nililolileta kwenu huyu chalii ndani ya wiki zote 4 dates zote kaspend pesa nyingi hajawahi hata kunishika mkono achilia mbali kunikiss. I'm trying to go with the flow lakini ustaarabu karibu unanishinda.
Hivi wadau huyu mtu ni muoga, hajavutiwa na mimi au sio riziki? nashindwa kumuelewa kabisa. Ukizingatia sisi sio under 18.
Mnanishauri nifanye nini should I make the first move au niwe cool?
Anyways atakaeniita mzinifu nampiga. Comment za kijumbe sitaki.
Asubuhi njema Watanzania wenzangu.
Samahani sanaHaina
Haina noma endeleeni kupeperusha uzi.
Kwamba capital yangu ndogo???Haha crime is just a slang tu.
Weka basi business plan mezani tuone mambo yanavyokwenda myb in the future twaweza kuwa partners.
Nzuri shem za Corona huko??
😂 Hamna kemistri hapo......Raha ya mwanaume hata anivute vute alafu niwe nakataa sasa huyu zero. Story tu
Ni mapema sana kunitamkia ananipenda ila "I like you, I want to get to know you. Same old drill u know
Kwenye proposal ingiza na kipengele cha monopoly maana naona kashakikiuka kwangu na partnership itabidi ife au alipe "fidia" ya breaching of agreementSawa sawa, ngoja tuingie kazini.
Siku hizi hakuiti mchumba?