Huyu mwanamke nimjibuje?

Huyu mwanamke nimjibuje?

Pole sana commandant, kwa experience yangu hapo kuna mwalimu mwenzie anakula mambo au kuna kijamaa kingine tu, huwezi kubadilisha kitu hata kama utaanza upya kutongoza...mpinzani wako kakuzidi kete kubali na achana nae nyapu ziko millioni hata akitaka kukudhulum mwachie tu pesa kitu gani? Amini kuwa malipo mengine ni hapa hapa duniani M/Mungu atamfundisha kitu nna uhakika na hili. Pole sana kaka, kaa na washkaji, ndugu, au ongea na mama...hakika ikiisha siku moja utakua ushamsahau
 
shukran saana kwa ushauri wako mkuu.
 
Moja kwa moja niende kwenye mada,

Kipenzi changu alianza kubadilika ghafla yapata wiki moja iliyopita. Tumekuwa kwenye sintofahamu. Sikuelewa mwenzangu alipatwa na nini, SMS hajibu kwa wakati na pia kila nikimuuliza alikuwa anajibu jeuri, sikuelewa amepatwa na nini.

Niliamua kuwa mvumilivu ili nione labda atabadilika. Ila nimeshangaa kanitumia SMS usiku huu, kama screenshot inayvoonekana hapo chini.

Hii ina maana gani? Nimjibu au nimpotezee?

Ushauri wenu tafadhari, maana nahisi tumbo Joto.

View attachment 836200
Just move on kama ambavyo amekushauri, noaka amekutumia hizo msg's tayari amekwishafanya tafafuri juu ya mambo kadha wa kadha ambayo kwa ushauri wangu hata usisumbuke kukata kujua. JUST MOVE ON......!
 
Mkuu, nimejaribu kwenda naye taratibu ili aitume hyo hela... Maana yeye ndo kashika mpini saivi. Imagine ameniacha then ana pesa yangu... So najaribu kutumia some tricks.View attachment 837014
Duuuuh ...I told u mkuu!

Humu unadanganywa mi nakwambia! Umeona alivyowaka ulivyomwambia kuhusu pesa yako!?

Hiyo hela kaishatumia( mwanamke hakaagi na hela hilo likukae kichwani)

Kiufupi mpotezee mazima coz utazidi kuumia nakwambia na hayo majibu yake ya shombo!

Toka siku ile kakutumia zile chat ungekausha tuu....yaan hapa unazidi kuharibuu tuu, tena anakuharibu kisaikolojia! Unazidi kuwa mdoogo sisimizi tembo
 
Use the tricks to gather evidence.

Yeye alisema ataituma in no time, mpaka masaa 12vyanapita na hajaituma ujue hana nia tena.

Ndo maana anakuja na vitisho vya "you are asking too much".

Cha kukushauri, usiandike amount kwenye hizo convo zenu, nenda naye hivyo hivyo.
Sasa aende nae vipi mkuu?...hata aende nae mdogo mdogo mi nakwambia hiyo hela huyo demu kaishaila! Sasa atume kitu ambacho hana? Ndo maana anakuwa mbogo
 
Sio lazima umjibu,kwani ukimjibu atatafuta neno lingine la kukuumiza zaidi,na atajigamba kuwa huwezi ishi bila yeye,Mwache aende ipo siku atakukumbuka hata kwa sekunde na atakuwa ameshachelewa
That's the point
 
Dah move on bro Kwa uwiano wanaume ni wengi kuliko wanawake
 
Moja kwa moja niende kwenye mada,

Kipenzi changu alianza kubadilika ghafla yapata wiki moja iliyopita. Tumekuwa kwenye sintofahamu. Sikuelewa mwenzangu alipatwa na nini, SMS hajibu kwa wakati na pia kila nikimuuliza alikuwa anajibu jeuri, sikuelewa amepatwa na nini.

Niliamua kuwa mvumilivu ili nione labda atabadilika. Ila nimeshangaa kanitumia SMS usiku huu, kama screenshot inayvoonekana hapo chini.

Hii ina maana gani? Nimjibu au nimpotezee?

Ushauri wenu tafadhari, maana nahisi tumbo Joto.

View attachment 836200

Pole sana mkuu..kama sms ilivyo..kapata jamaa mwingine huyo achana naye au komaa nae mgigide cha kwaheri Afu endelea na life lako.
 
Then 'move on'...... Heri kungekuwa rahisi kama kulitamka!
Najua sio "rahisi" ila "inawezekana"

Siku zote grafu ya maumivu baada ya "move on" hupungua ila akiamua kung'ang'ani kuwa kwenye mahusiano ya aina hii ataambuliwa maumivu muda wote kama sio kifo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom