Huyu mwanamke nimjibuje?

Huyu mwanamke nimjibuje?

Najua sio "rahisi" ila "inawezekana"

Siku zote grafu ya maumivu baada ya "move on" hupungua ila akiamua kung'ang'ani kuwa kwenye mahusiano ya aina hii ataambuliwa maumivu muda wote kama sio kifo.
Hakika kiongozi, maana tangu nilivyoamua ku'move on' baada ya kuniacha maumivu yamepoa kabisa!
 
Mkuu, nimejaribu kwenda naye taratibu ili aitume hyo hela... Maana yeye ndo kashika mpini saivi. Imagine ameniacha then ana pesa yangu... So najaribu kutumia some tricks.View attachment 837014
you ask too much

pole mkuu lakini sikudanganyi una akili za kitoto hapo unajichoresha na utaumia zaidi
 
Nyie viumbe mna dhambi sana dadeq
Hivi hamjui hua tunawalilia mno ? Usiku hatulali tunakesha kwenye uzi wa jf usiku wa manane
Hahahaaa ila sio dhambi mkuu, tatizo huwa mnatutesa tunavumilia ila tukichoka na kuwaacha mnasema mmeachwa bila sababu, ni hivi mkuu msikilize sana mwanamke wako wakati akiwa katika sononeko ulilosababisha wewe na jali hisia zake
 
Pole sana mkuu,hakika tunafahamu jinsi gani unaumia sasa hivi,ila jitahidi,vumilia ni suala la wakati tuu nyakati za furaha ziko pia zitafika soon.
 
Kumbe unajua kuwa haitarudi sasa mbona umemkazania deo amdai bidada?

Deo ni nani?

Sasa aende nae vipi mkuu?...hata aende nae mdogo mdogo mi nakwambia hiyo hela huyo demu kaishaila! Sasa atume kitu ambacho hana? Ndo maana anakuwa mbogo

Unahusikaje na hii pesa?

Akiamua anaipata, labda aamue kuchukua maneno ya Mungu atalipa.

Moving on yes, lakini hela irudi.
 
Asiwaze wala nn, kuachana ni kuachana tu, iwe kwa amani au ngumi... Niliachwa wakat nipo chuo na mtu upo nae course moja just imagine.. at firts alikua ananisemezea mbovu kwa watu kwa ujinga huo huo wa kumrudia nimbembeleze... sikumbuki ilkuaje ila ikatokea tu nikanyamazaga, block kote... after few months napata namba ngeni anajitambulisha yy ni flani and alkua ananisalimia, baaa ya week anatuma text kwa namba nyengne tena kuuliza kwann nmemblock na anahitaj msaada nmrekebishie PC yake., nkiamblock pia...
siku hz ananichukia mno na kusema ndio nmemfanya awe play gal... na story naletewa...
Acha vitu viende na nature bro, kila mtu atamess up kwa style yake.
 
Imenikumbusha miaka ya nyuma nikiwa na mchumba ambaye nimeshamtambulisha home.

Ghafla akakata mawasiliano. Ukituma msg hajibu, ukipiga simu hapokei.
Akipokea anakujibu "ntakupigia baadaye".
Ndio basi tena.

Siku moja nikapata msg " am sorry dear, just move on. Nimeamua kuolewa na mwanaume mwingine! Samahani kwa kutokutaarifu mapema"

Nilitamani dunia iishie pale tuhukumiwe tu.!!
Hawa wanawake we ukipata nafasi watumie effectively, wala hata sio wa kuwafikiria vile tunafikiri
Hhhh mkuu nimecheka mno ila umetoa ushauri konki
 
Hahahaaa ila sio dhambi mkuu, tatizo huwa mnatutesa tunavumilia ila tukichoka na kuwaacha mnasema mmeachwa bila sababu, ni hivi mkuu msikilize sana mwanamke wako wakati akiwa katika sononeko ulilosababisha wewe na jali hisia zake
Mmh sawa .lakini sometime unakuta hatujafanya kosa lolote mnaamua tu kwenda
 
Dah usiombe uachwe na dem anaejua english inauma sana.mpaka nimetoa machozi kuona hzo text nimekumbk mbali mno mkuu pole sana achana nae tafuta pesa .
Ila maneno ya hiyo dem kam unampenda hutoysahau
Ngj nimalize kulia nitarudi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom