Huyu mwanamke nimjibuje?

Huyu mwanamke nimjibuje?

Moja kwa moja niende kwenye mada,

Kipenzi changu alianza kubadilika ghafla yapata wiki moja iliyopita. Tumekuwa kwenye sintofahamu. Sikuelewa mwenzangu alipatwa na nini, SMS hajibu kwa wakati na pia kila nikimuuliza alikuwa anajibu jeuri, sikuelewa amepatwa na nini.

Niliamua kuwa mvumilivu ili nione labda atabadilika. Ila nimeshangaa kanitumia SMS usiku huu, kama screenshot inayvoonekana hapo chini.

Hii ina maana gani? Nimjibu au nimpotezee?

Ushauri wenu tafadhari, maana nahisi tumbo Joto.

View attachment 836200
usimjibu chochote kaa kimya,tafuta dem mwingine mkali hata Kwa kumnunua then piga nae picha za mahaba alafu mrushie.
 
Mkuu BILGERT sijaona unazungumzia Meseji ya M-PESA imethibitishwa kwamba karudisha hela ni mda sasa wa kumtafutia RB kwa wizi na utapeli
 
Dah usiombe uachwe na dem anaejua english inauma sana.mpaka nimetoa machozi kuona hzo text nimekumbk mbali mno mkuu pole sana achana nae tafuta pesa .
Ila maneno ya hiyo dem kam unampenda hutoysahau
Ngj nimalize kulia nitarudi

Jamaaa ndio kashabwagwa hapo hahahahaha. Ngeli noma yaani maneno yanagusa Moyo vilivyo.
 
Move on mkuu, hawa viumbe sio wa kuwakumbatia sana, maana ni kama nyuki
 
Woyoooooo..sasa hapo nenda bar moja matata yenye mademu wakalii..
mwambie sms yke umeipata 51CO1L IMETHIBITISHWA hili neno limekufurahisha sana...ila bado hujasahau nusu iliyobaki....utatupa mrejesho nayo
Naaam
 
Moja kwa moja niende kwenye mada,

Kipenzi changu alianza kubadilika ghafla yapata wiki moja iliyopita. Tumekuwa kwenye sintofahamu. Sikuelewa mwenzangu alipatwa na nini, SMS hajibu kwa wakati na pia kila nikimuuliza alikuwa anajibu jeuri, sikuelewa amepatwa na nini.

Niliamua kuwa mvumilivu ili nione labda atabadilika. Ila nimeshangaa kanitumia SMS usiku huu, kama screenshot inayvoonekana hapo chini.

Hii ina maana gani? Nimjibu au nimpotezee?

Ushauri wenu tafadhari, maana nahisi tumbo Joto.

View attachment 836200[/QUOTE
Kukaa kimya ni bora kuliko kumjibu atakusumbua
 
Hapo no kujibu mwana wane ili atleast uwin kisakolojia yeye ndo apate shida, chill and be quite mostly move on
 
Mkuu unatakiwa kuwa Mtu wa kisasi kurudisha hadhi ya kiume tafuta either dada yake au mama yake mega kwa sauti hadi ajue kuhusu kumjibu sms achana nae fanya vitendo
 
Mkuu kwa jinsi nilivyo na madanga mengi nikipata text kama hii huwa nashusha pumzi sana maana naona kama kanitoa mzigo mzito..!
Move on broh.. demu wangu wa kwanza alileta habari kama hizo. Off course niliumia sana (kwa mara ya kwanza nililia wakati alipokufa mdingi sikulia wala nn!). Ulipita muda nikasahau na kusamehe (shida wanapata wanaofatia sasa baada yeye..!). Hata aliporudi tena huku anajichekesha nilifyekelea mbali..!
 
H

Hahaa, noma mkuu.
 
' I will cherish the moments we had' and 'MOVE ON' the only conclusive sentences! My friend things are falling apart. Chinua Achebe
 
what we think is not what we expected just let her go keep moving,keep striving,keep learning see at work.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom