Moja kwa moja niende kwenye mada,
Kipenzi changu alianza kubadilika ghafla yapata wiki moja iliyopita. Tumekuwa kwenye sintofahamu. Sikuelewa mwenzangu alipatwa na nini, SMS hajibu kwa wakati na pia kila nikimuuliza alikuwa anajibu jeuri, sikuelewa amepatwa na nini.
Niliamua kuwa mvumilivu ili nione labda atabadilika. Ila nimeshangaa kanitumia SMS usiku huu, kama screenshot inayvoonekana hapo chini.
Hii ina maana gani? Nimjibu au nimpotezee?
Ushauri wenu tafadhari, maana nahisi tumbo Joto.

View attachment 836200
Dah kwanza pole lakini pili just relux then fuata jinsi alivyokwambia yaani huyo anamaana no more love with you pengine kuna kasababu kadogo sana na ataki kukimention kwako cha msingi kama unaback up yako ya maana ipandishe cheo fasta with carefull na sahau kuhusu huyo mtu atakupotezea muda just move on