Huyu mwanamke nimjibuje?

Huyu mwanamke nimjibuje?

Hahahahaha kapata danga huyo ....yaani wanawake sisi loool.....ukiona mtu anakuja kukwambia nimeona bora tuishie hapa endelea tu na maisha yako ...ujue kabisaaa kapata mwanaume mwingine ...ila shukuru amekwambia kuliko angekuzungusha ...mwache aende
 
Man nilishawahi kufanya unayoyasema. I threw everything at her. Money, advice, outing.. kila kitu . Na alijua nimejitoa kwakwe moja kwa moja.

Lakin kumbe alikiwa na njemba lingine nje.
Niakaishia kubaki na maumivu yangu makubwa ambayo yalinibadilisha forever.

For the record mwanamke aking'ang'ania kuondoka au kukuacha bila sababu. Let her go.. it wont be good hata ukilazimisha kubaki nae. Atabaki hakupendi wkt ww unahangaika kumpenda.
My Niggah, hawa viumbe hawana shukurani na ni wepesi mno kujisahau yani hata uwazawadie anga na nyota zake zote still watakuangusha tu.

Kumuamini ama kujitoa kwa mwanamke ni sawa na kujifunga akili, haijawahi kuwa na matokeo mema toka zama hizo.
 
Hujanikosea, Mimi ndo nakukosea..

I will cherish the moment we had..

Kama hujaelewa hayo maneno mkuu utakuwa na utindio wa ubongo na macho. Hilo la kwanza ndio kila kitu. Kuna mtu anamfanyaga matusi..
 
The myth is... madem katika ujana wao. Huwa hawataki nice guys, hata kama wanapesa huwa wanawatema.
Then ikifika umri wa kuolewa wanawataka nice guys kwa ajili ya ndoa.

Women are so confusing.
Seems like reality, mi ndio maana huwa nainjoy ku date na madada watu wazima wenye age 28+. Wakogi open sana halafu hawana dramas. Akikuelewea mnayajenga big time!

Watoto wa age 25 and below wengi majinun khabith kabisa! Hawafai hata kwa kachumbari!
 
Seems like reality, mi ndio maana huwa nainjoy ku date na madada watu wazima. Wakogi open sana halafu hawana dramas. Akikuelewea mnayajenga big time!

Watoto below 25 wengi majinun khabith kabisa!
unao wengi mkuu!!
 
Mpotezee muache aende, kubali tu kasafari kenu kameishia hapo, maisha yenyewe mafupi haya kuanza kumlilia asiyekutaka.
 
😀😀😀😀😀 Dah yani ni kuharibiana usingizi tu aisee. Nilikuwa nikiona hizi dalili nazima simu kabisa bora nikutane na message asubuhi.
daah hii haijakaa vyema kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom