Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,373
- 176,212
Utajua tu, penzi la dhati halifichiki.Utajuaje kama anakuambia tu ???
Sent using Jamii Forums mobile app
Utajua tu, penzi la dhati halifichiki.Utajuaje kama anakuambia tu ???
We need love and money too.Utajuaje sasa wakati huha muda hata wa kunsikiliza?? Mapenzi ni kama imani si unajua definition ya imani?
Basi mtu akikuambia anakupenda muache akupende, hujui kapita wangapi had kukuambia wewe. Love is all what we have
Hivi huyo binti kishakutafuta au bado anakuringia?Kama mtu akikupenda kwa dhati hana pesa??
Umekosea sana kumuacha mwenzako akiteseka hivi.
Mimi sijui kuacha babe.Umekosea sana kumuacha mwenzako akiteseka hivi.
Rafiki kumbe ni wewe nakuona kila mara unapita na lile li sport, Yesus! Kweli watu mnakula kivulini...Wakati mwingine tunaowapenda hutuacha kwa maumivu ili kumleta aliye bora zaidi, katika vitu namshukuru Mungu ni ex kuondoka maana wangejifanya kuniganda huyu mfalme ningemtolea wapi? Ulaya je ningeijulia wapi? Range ningelisukuma lini? Na vingine vingi, hivyo mkuu piga moyo konde jipe muda mwanamke mwema yuko karibu tu
Ha ha haaaNSHASEMA sikutaki...usichoelewa Nini wewe kitunguu maji....Chefuuuu![]()
Umempa moyo wako bure na bado anakusumbua..
Wakati wenzio wamewapa watu figo na wamelipwa mamilion
Usimfanyie mwenzako hivi!
Hisia zangu hujawahi kuziheshimuSiku zote naheshimu hisia za mtu anayenipenda, sio za anayeniambia ananipenda. Maana kuniambia unanipenda haimaanishi unanipenda kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app

tena nakuonyesha wala sijawahi kukuambia.