Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,419
- 104,868
Cool babe, chill down my better half...😘Mkuu...Sina vidoti vyeupe reception...utakuwa umenifananisha..
Vyuku Wala sili..wali harage na vutumbua ndo Shiiidah![]()
Cool babe, chill down my better half...😘Mkuu...Sina vidoti vyeupe reception...utakuwa umenifananisha..
Vyuku Wala sili..wali harage na vutumbua ndo Shiiidah![]()
Kama alikuona wanini, basi mwambie ntakupata lini ndio nakumiliki....😘...Jamani Mimi kufanana na baba mbona kheri Sana..Baba Yangu alikua mzuri Sana wa sura na Tabia..(Mwenyezi Mungu amuwei Radhi baba jangu)
Nshampa moyo kaaribu saiv nimeuacha ndo anakumbuka shuka...alikiona Cha Nini..saiv roho mkononi.
Aisee salama kabisa mkuu.. ja mashiku nkoi?Saint Anne na Karma. Mlikuwa mnajua kuwa Lizarazu alisharudi halafu hakuna aliyesema kitu?
Mkuu za kupotea?
Yeehhh...Aisee salama kabisa mkuu.. ja mashiku nkoi?
Ūnene nalīmhola nzuna wane. Nayega gūgūbona hangī. WabejaAisee salama kabisa mkuu.. ja mashiku nkoi?

Ukiachana na mwanamke bila kupoteza muda tafuta mwanamke (rebound girlfriend)mwingine haraka sana kadri uwezavyo. Vinginevyo upweke utakufanya umkumbuke ex wako sana.Maishani mwangu sikua naamini katika mapenzi kabisa, then nikakutana na huyu mwanamke aliyenibadirisha maisha na fikra zangu. Nampenda kutoka ndani ya moyo, shida huyu mwanamke jamani ananitesa sana. Hali yangu mbaya kuna muda nakaa naona kuna kitu kimepungua then nakumbuka ni yeye naumia moyo nahisi hata pressure ishapanda kwa mawazo maana muda wote unalipuka.
Kama unampenda mtu kwanini usimpende tu?? Mimi naamini hakuna sababu za kuachana na mtu umpendae maana hakuna tatizo lisilozungumzika. Wengine nyie mnawezaje kuwaacha mliowapenda?? Mimi badala nimsahau siku zinavyokwenda ndio nazidi kuteseka na kumkumbuka. Karibia kila nachofanya navyokutana navyo vinanikumbusha penzi lake huyu mwanamke.
Babe please come back nashindwa kuvumilia, si mimi ni upendo ulioujenga ndani yangu Sina furaha kabisa yaani sijui najiona vipi bila weww I really can't take it. I chose you you chose me nikakufanya uwe my everything,my happiness my smile. I love you and I won't give up on you coz you're all what I want i always tell you this.
Tabasamu,sauti na cheko lako nalimiss maana ndio vitu pekee vinavyonipa tabasamu.
Please babe I can't taje it anymore, I need you. You're my achievement I won't give up on you
Ūgīdebile īgisukuma nkoyi?Yeehhh...
Wang'wise, tuliho nkoyi....![]()

$h'dololo duhŪgīdebile īgisukuma nkoyi?![]()
Mwenzenu anataka kutolewa roho wewe unacheka?
Roga that SirMan down; I repeat man down. Alpha do you copy?![]()
Leo mafurushi yamekuwa matamu tena? Maajabu hayatakoma hapa duniani![]()




Siku zote naheshimu hisia za mtu anayenipenda, sio za anayeniambia ananipenda. Maana kuniambia unanipenda haimaanishi unanipenda kweli.Mtu akikuambia anakupenda heshimu hisia zake hujui ni jins gani anavyotaabika kwa kukupenda. Love is free but valuable.
Feelings zikiwa mutual ni raha sanaaa.Mapenzi Matamu Sana Dear. Kupendwa ni Raha zaidi.
Utajuaje kama anakuambia tu ???Siku zote naheshimu hisia za mtu anayenipenda, sio za anayeniambia ananipenda. Maana kuniambia unanipenda haimaanishi unanipenda kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app