Huyu mwanamke atanitoa roho

Mbona Espy yupo huko ila mambo yetu yako poa kabisa mkuu? Inawezekana, japo mnatakiwa kujitoa kweli kweli mkuu.
Unapaswa kuwa na uvumilivu wa chuma kwa sisi wenye mioyo midogo na ndio ambao tupo wengi hatuwezi

Trust me
 
Maishani mwangu sikua naamini katika mapenzi kabisa, then nikakutana na huyu mwanamke aliyenibadirisha maisha na fikra zangu. Nampenda kutoka ndani ya moyo, shida huyu mwanamke jamani ananitesa sana. Hali yangu mbaya kuna muda nakaa naona kuna kitu kimepungua then nakumbuka ni yeye naumia moyo nahisi hata pressure ishapanda kwa mawazo maana muda wote unalipuka.

Kama unampenda mtu kwanini usimpende tu? Mimi naamini hakuna sababu za kuachana na mtu umpendae maana hakuna tatizo lisilozungumzika. Wengine nyie mnawezaje kuwaacha mliowapenda?? Mimi badala nimsahau siku zinavyokwenda ndio nazidi kuteseka na kumkumbuka. Karibia kila nachofanya navyokutana navyo vinanikumbusha penzi lake huyu mwanamke.

Babe please come back nashindwa kuvumilia, si mimi ni upendo ulioujenga ndani yangu Sina furaha kabisa yaani sijui najiona vipi bila weww I really can't take it. I chose you you chose me nikakufanya uwe my everything,my happiness my smile. I love you and I won't give up on you coz you're all what I want i always tell you this.

Tabasamu,sauti na cheko lako nalimiss maana ndio vitu pekee vinavyonipa tabasamu. Please babe I can't taje it anymore, I need you. You're my achievement I won't give up on you
Wimbo mzuri sana huu, tafuta wezi wa muziki (producers) wakuibie beats uimbe....I promise huu wimbo utakuwa a hit.
 
Ndio Umri wa kufanya hayo mambo ,ukishafika 30+ hautakuwa na muda wa kuwaza mademu maana utakuwa na mambo mengi sana ya kufanya!!
 
Back
Top Bottom