Anakupenda? Kama hakupendi haijalishi unampenda kiasi gani au unaumia kiasi gani fanya juu chini umsahau na uachane nae kwa sababu kulazimisha mapenzi ni sawa na kujaribu nguvu ya sumu kwa kuiramba.
People should love don't fall in love because everything that fall get broken.
Wewe hapo ume fall in love ndo maana unateseka sana kwa sababu kumpenda mtu ni pamoja na kuheshimu hisia zake, kama amekwambia akupendi basi achana nae huo ndio upendo, na sio lazima akwambie sometimes hata matendo yake yanakuonyesha tu (there is always a message on how people treats you)
Maumivu yakizidi waone fans wa arsenal wao wamewezaje ku survive because mna share the same pain japo ni different category (I'm just kidding)