Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,332
- 176,114
Wacha bwanaHisia zangu hujawahi kuziheshimutena nakuonyesha wala sijawahi kukuambia.



Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha bwanaHisia zangu hujawahi kuziheshimutena nakuonyesha wala sijawahi kukuambia.



😆😆😆😆Rafiki kumbe ni wewe nakuona kila mara unapita na lile li sport, Yesus! Kweli watu mnakula kivulini...
😅😅😅Man down; I repeat man down. Alpha do you copy?![]()
😅😅😅😅Umempa moyo wako bure na bado anakusumbua..
Wakati wenzio wamewapa watu figo na wamelipwa mamilion
😅😅😅Umempa moyo wako bure na bado anakusumbua..
Wakati wenzio wamewapa watu figo na wamelipwa mamilion
Long distance relationship tuwaachie wakorea na wafilipino tu .. sisi wabongo asiye kuwepo na lake halipo 😅Tupo mikoa tofauti kwa sasa😢
Bwana bwana 😅😅
Ila watu wakijua wanapendwa wanatesa wenzao jamani
😅😅😅Mkuu, yule mwali alisababisha nikawa mlevi hadi nikafukuzwa kazi imagine...
Sasa nilikutana nae mwaka jana eneo flani nami kidogo mambo hayakua mabaya sana, binti kachoka kachakaa.... Aliponisemesha nilimwambi "excuse me mother", nikamwambia amenifananisha na yule ni pacha wangu...🤣🤣🤣
Copy that!Man down; I repeat man down. Alpha do you copy?![]()
Wabheja sana nkohi, neleo oneneYeehhh...
Wang'wise, tuliho nkoyi....![]()
Sawa, wabheja sana mamiiiŪnene nalīmhola nzuna wane. Nayega gūgūbona hangī. Wabeja![]()
We hata baiskeli hutaki kuninunulia, we baki tu unashangaa hapo.Rafiki kumbe ni wewe nakuona kila mara unapita na lile li sport, Yesus! Kweli watu mnakula kivulini...
Hilo gari sina baiskeli nawezaje babe! Tupambane kila mtu na mechi zake

Nitafanyaje sasa na ndio nishayavulia maji nguoHilo gari sina baiskeli nawezaje babe! Tupambane kila mtu na mechi zake![]()



🏃🏼♀️🏃🏼♀️Long distance relationship tuwaachie wakorea na wafilipino tu .. sisi wabongo asiye kuwepo na lake halipo 😅