Pole, usijali utasahau, utapata akupendayeLoyalty is killing me. Napenda nipende mtu mmoja tu nimpende sanaaaa ndio nilimpata huyu sasa siwezi kujifanyisha kua simpendi
Au uyo ancaly ni mimi...??Hahahaha me Kuna limjomba limenitesa hivi na mvi zangu
Nimeokoka na skuizi namtumikia tu Mungu, hata K-Vant nakunywa tu kachupa kadogo....😔😔Mbingu utaisikia![]()
I'm coming My Babe 🥰😘🥰Maishani mwangu sikua naamini katika mapenzi kabisa, then nikakutana na huyu mwanamke aliyenibadirisha maisha na fikra zangu. Nampenda kutoka ndani ya moyo, shida huyu mwanamke jamani ananitesa sana. Hali yangu mbaya kuna muda nakaa naona kuna kitu kimepungua then nakumbuka ni yeye naumia moyo nahisi hata pressure ishapanda kwa mawazo maana muda wote unalipuka.
Kama unampenda mtu kwanini usimpende tu?? Mimi naamini hakuna sababu za kuachana na mtu umpendae maana hakuna tatizo lisilozungumzika. Wengine nyie mnawezaje kuwaacha mliowapenda?? Mimi badala nimsahau siku zinavyokwenda ndio nazidi kuteseka na kumkumbuka. Karibia kila nachofanya navyokutana navyo vinanikumbusha penzi lake huyu mwanamke.
Babe please come back nashindwa kuvumilia, si mimi ni upendo ulioujenga ndani yangu Sina furaha kabisa yaani sijui najiona vipi bila weww I really can't take it. I chose you you chose me nikakufanya uwe my everything,my happiness my smile. I love you and I won't give up on you coz you're all what I want i always tell you this.
Tabasamu,sauti na cheko lako nalimiss maana ndio vitu pekee vinavyonipa tabasamu.
Please babe I can't taje it anymore, I need you. You're my greatest achievement I won't give up on you
Pole sana Mkuu pambana ili kumrudisha mpenzi wako usiishie kuandika mtandaoni tu. Haya mambo yanahitaji kukaa chini uso kwa uso kujua tatizo ni lipi na kama linaweza kutatulika ili kurudisha penzi lenu hewani.
She left me. Kwamba she need a break
Angalau wewe ni mwema sana.
Watu wanamkashifu tu kuwa asepe.
Wanafikiri kupenda ni kazi rahisi tu.
Negative,Negative the suspect is still in the area,abort the mission over...Retreat Tango Unit! request for immediate evacuation!..
copy Alpha, mission aborted.. Tango unit retreating!Negative,Negative the suspect is still in the area,abort the mission over...
Acha uzembe mAster find cute zaidi yake na ambae katika vigezo vyako 10 ame hits 8 hivi 2 utamshape mwenyewe kukamilisha.Loyalty is killing me. Napenda nipende mtu mmoja tu nimpende sanaaaa ndio nilimpata huyu sasa siwezi kujifanyisha kua simpendi
Come here please 😔