Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,503
- 3,514
Mimi ni miongoni mwa watu tusioamini existence ya upendo.....
Kinachoomiza watu daily ni MAZOEA mlijiwekea kati ya jinsia moja na nyingine, either ni mawasiliano yenu, kukutana kwenu au vingine vingi
Mfano: ushajiuliza ni kwanini upendo (mazoea) wa mama kwa mtoto ni mkubwa sana kuliko wa Baba? Ni kwasababu mama alipata muda mwingi kukaa na mtoto hivyo ikajenga mazoea (upendo) kuliko kwa Baba.....
Hata kwa upande wa Baba kwa mtoto pia
Wengine tumewahi kuwaacha wapenzi au kuachwa na wapenzi then, still mnakaa nyumba moja(mliopanga) au mtaa mmoja unahisi ni maumivu kiasi gani?
Unachotakiwa kukifanya kama kakuacha sioni sababu ya kungangania kisichokuwepo, kaa, tuliza akili, fanya kama hujawahi kukutana naye au hayupo kabisa
Maisha yataanza kubadilika hatimaye utaweza kurudia hali ya kawaida, penda kufanya vitu ambayo unavipenda kama ni mpira, music, kuchat au kupiga story tafuta eneo utakalo fit ili uweze kuondokana na hiyo hali
Mr. Ben