Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
486
Reaction score
2,069
Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General.
Swali ni kwamba huyu mkuu wa mkoa hiki cheo amepandishwa kwa kufuata seniority au ni kapewa zawadi ili aendelee kuyalinda maslahi ya boss wake huko Ruvuma.
Karibuni kwa mjadala.
 
Attachments

  • Screenshot_20250826_054620_Opera Mini.jpg
    Screenshot_20250826_054620_Opera Mini.jpg
    182.9 KB · Views: 19
Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General.
Swali ni kwamba huyu mkuu wa mkoa hiki cheo amepandishwa kwa kufuata seniority au ni kapewa zawadi ili aendelee kuyalinda maslahi ya boss wake huko Ruvuma.
Karibuni kwa mjadala.
Pole pole keshamaliza kila kitu hivyo mtazamo wako ni sahihi
 
Kwa mchongo huo nina uhakika anaandaliwa kuwa CDF huko mbeleni ili kulinda vizuri maslahi fulani fulani za wazee.

Wahuni kwa mahesabu ya muda mrefu wako vizuri sana.
 
Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General.
Swali ni kwamba huyu mkuu wa mkoa hiki cheo amepandishwa kwa kufuata seniority au ni kapewa zawadi ili aendelee kuyalinda maslahi ya boss wake huko Ruvuma.
Karibuni kwa mjadala.
Hata hilo liteuzi ukiliuliza litakupa majibu basi? Hebu tuache kuchoshana!
 
Unahangaika na maisha ya watu kwani ni nani anayehangaika na maisha yako....acha ujinga
 
Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General.
Swali ni kwamba huyu mkuu wa mkoa hiki cheo amepandishwa kwa kufuata seniority au ni kapewa zawadi ili aendelee kuyalinda maslahi ya boss wake huko Ruvuma.
Karibuni kwa mjadala.
Kwani wewe unafikiri alitakiwa kupandishwa cheo lini?
 
Ila Viongozi wanacho tufanyia wana Ruvuma sio poa, malighafi zetu wanachukua, ila kutuboreshea mkoa wetu hawatakii.
Inauma mno jamani, 😢😢😢😢😢
 
Muu acha wale kwani watafika wapi? Mwisho wake ni kufukiwa na tani mbili za udongo na kwenda kujibu mamlaka waliyopewa waliyatumiaje?
Endelea kuamini hivyo mkuu wakati wao wanafukiwa lakini wameacha maisha kwa watoto na wajukuu zao na wao wataendeleza chaini ile ile na dhani unaona familia ya mwinyi na familia ya kikwete
 
Back
Top Bottom