Huyu mama yake Diamond ni Ulimbukeni au?

Huyu mama yake Diamond ni Ulimbukeni au?

Ya labda hilo la kuficha unaweza kulisema, mimi nimeshuhudia vituko vingi sana na Wanawake ambao nikiwaelezea watu ambao wanafikiri wanawajua hao wanawake, hawawezi amini.

Heri wewe uneona wawili watatu,sio mbaya sana

Hawa wapo kwenye national TV wanaonekana visa vya na 60m people at once

Na picha zikishaingia kwenye blogosphere ndio lifetime

Ishu nadhani hii yote ya huyu mama ni engineered na hilo group lao ili kuleta kiki zaidi kwenye club nzima ya wasafi for whatever reason

Na mama kaingia huo mtego wa kutafuta umaarufu by any mean neccesary!
 
Barbarosa uko sahihi ni kushukuru Mungu hatuyajui yanayofanywa na mama zetu **** mama mmoja wa rafiki yangu anakamuliwa na vijana wadogo kabisa na ukiambiwa huwezi amini na hakuna sehemu yenye kumtia ujinga binadamu kama kwenye mapenzi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Halafu watu wanasema mzee Naseeb Abdul ndiye mmbaya!

Hebu angalieni akili za aliyekuwa mkewe na mama wa nyota bwana dimondi Platinumz halafu ujiulize hali ilikuwaje kipindi bado ana ubichi. Its super hard to be a man of this kind of women!
 
Back
Top Bottom