herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 2,305
- 3,989
hata kama wanafanya hatukata ila sio ifike time mpaka wanapiga picha kuonesha walikuwa wanafanya hapo ndo walipobugiLabda useme ushukuru Mungu kwa kutokujua usichokijua, Binadamu usimwamini hata siku moja, hivyo wakati mwingine tofauti kati ya mama Mondi na mama zetu ni kwamba labda hawatuonyeshi (mama zetu) tu wanayoyafanya, kwani mwisho wa siku mama zetu ni Wanawake pia, sasa kama una uzoefu na Wanawake utaelewa mambo ambayo wanafanya kwa kuficha, na kuitangazia Dunia kuwa ni Watakatifu, mimi nimeshashudia mengi na Wanawake ambao kwa heshima wanaoionyesha kwenye jamii wengi hawawezi amini kama ni fake.
Hivyo mambo haya ni kukaa kimya tu, mimi kuna mshikaji mama yake walimshika darasani jioni na kijana hakuna aliyeamini, Mshikaji mpaka leo hajatengemaa bado kiakili.
Hakuna asiyejua kama baba na mama yake huwa wanananliana ila sio vzuri nijue baba na mama wametoka kufanya hapo ndipo linakuja swala la kutojiheshim