Diamond: Mali zangu zinatambulika kwa jina la Mama Dangote

Diamond: Mali zangu zinatambulika kwa jina la Mama Dangote

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
18,053
Reaction score
25,646
Diamond amefunguka kuwa Mali zake amesaini kwa jina la Mama yake wakati akisherekea sikukuu ya kuzaliwa ya mama yake Mama Dangote na amesema yeye ndio amenifanya Watanzania wanitambue amenipigania sana kwenye safari yangu ya Mziki ikiwemo aliuza Pete yake ya ndoa ili tu niwe na uwezo wa kurecord nyimbo.
 
Sasa atuambie hiyo Pete ya ndoa na Nani maana tuliambiwa Baba yake alikufa.
 
Kwenye mali hakuna vya mchaga, hata wachaga wapo wameridhika na vyao hawanaga shida na vya marehemu....sababu huwa ni njaa na tamaa huwezi mjua mtu mpaka litokee ndiyo unajua roho ya mtu
Wachagga huwa hawaridhiki. Na hupenda kudhulumu vya dada zao au Shangazi au mama wadogo hata kama wao wana mali kuwazidi. Akifa ndipo mtaonja shubiri
 
Back
Top Bottom