Miss Halima
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 221
- 490
Mrembo Stella Mbunge ambaye ni video vixen wa video ya wimbo wa Salama wa Diamond na Barnaba ,amesema kwamba video ya salama ,Diamond Platnumz alimlipa zaidi ya milioni kumi licha ya kushindwana bei kwa mara ya kwanza.
Stella Mbunge amesema kuwa kwa mara ya kwanza kiasi alichotajiwa atalipwa kilikuwa kidogo hivyo aligoma akaamua kuanza kusafiri lakini baadae alipigiwa simu kuwa anahitajika na aseme kiasi anachokitaka maana Diamond Platnumz alionyeshwa picha zake akasema anamtambua na anamtaka ashiriki kwenye video.
''Mimi nilifanya makubaliano na director Folex tulishindwana kwenye pesa nikasafiri kweli nilivyorudi Nairobi yule mtu akanipigia akasema director Fole kasema kiasi gani unataka kwasababu Diamond kaonyeshwa picha yako kasema anakujua na kasema anakutaka wewe'', Amesema-Stella Mbunge.