Miss Halima
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 304
- 657
Kupitia kipindi Cha Transfoma pale EFM, Ibraah ambaye alitambulishwa kwenye mziki na Harmonize amesema anasikitishwa na kitendo Cha Harmonize kumblock kisa tu alimpost Diamond Platinumz.
"naumia sana Harmonize Aliniblock Kila sehemu kisa tu nilimpost Diamond, ni mwaka Sasa umepita"
"naumia sana Harmonize Aliniblock Kila sehemu kisa tu nilimpost Diamond, ni mwaka Sasa umepita"