Huyu mama yake Diamond ni Ulimbukeni au?

Huyu mama yake Diamond ni Ulimbukeni au?

Nina miaka 50 Sasa mama yenu anamiaka 48 huwa tunafanya hivyo pia ila hatupigi picha , si kwamba tumezeeka Sana na si kwamba hatutamani michezo hiyo la hasha tunacheza ila kwenye cold room


Kabisa kabisa mimi pia naungana na wewe tunafanya tena na vya zaidi lakini in private nini kutuanikia mitandaoni sura ngumu kama gome la mti wa mwarobaini. katoko kapo hapo kama punje ya choroko
 
Back
Top Bottom