Huyu mama yake Diamond ni Ulimbukeni au?

Huyu mama yake Diamond ni Ulimbukeni au?

Si Ommy Dimpoz nayeye alitifua hiyo mama.Nasikia na Kasheta nako kalikuwa kana mkaza..Mama mwenye akili hata kama anafanywa mpaka uchochoroni lakini alitakiwa kuwa na staha,anashindana na akina A.Rutty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili nusu hiyo family,,
Katika vitu sivipendi Ni kuanika picture yangu mtandaoni,na nimehakikisha hakuna picha hata moja ya kwangu iliyo online,
 
Hivi mwisho wa watu kuitana Boyfriend na Girlfriend ni umri gani?, napata ukakasi wa couple kama hio kutambulika kwa kitambuzi hicho.


Sasa utawaitaje kwa mfano mama ana miaka 50 na mwanaume pia 50 hawajaoana lkn wanatoka pamoja?
 
Mama hana shida shida ni huyo jamaa hapo maana yeye kama mwanaume anapaswa kumuongoza mwanamke then ukiangalia mwanaume ndo kapiga picha hiyo ulimbukeni ni huyu kubwa jinga mwanaume smart huwezi kumuanika mwanamke wako kwenye media kizembe namna hii


Sent from my iPhone using JamiiForums
Muhuni katoka kula kinyesi na selfie juu mtoto anawalea wote kwa kukata miuno kwa juhudi.
Inauma sana
 
Labda useme ushukuru Mungu kwa kutokujua usichokijua, Binadamu usimwamini hata siku moja, hivyo wakati mwingine tofauti kati ya mama Mondi na mama zetu ni kwamba labda hawatuonyeshi (mama zetu)

Tu wanayoyafanya, kwani mwisho wa siku mama zetu ni Wanawake pia, sasa kama una uzoefu na Wanawake utaelewa mambo ambayo wanafanya kwa kuficha, na kuitangazia Dunia kuwa ni Watakatifu, mimi nimeshashudia mengi na Wanawake ambao kwa heshima wanaoionyesha kwenye jamii wengi hawawezi amini kama ni fake.

Hivyo mambo haya ni kukaa kimya tu, mimi kuna mshikaji mama yake walimshika darasani jioni na kijana hakuna aliyeamini, Mshikaji mpaka leo hajatengemaa bado kiakili.
Wewe labda unamuongelea mama yako, mama yangu mimi ni mtakatifu hata mumewe analijua hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina miaka 50 Sasa mama yenu anamiaka 48 huwa tunafanya hivyo pia ila hatupigi picha , si kwamba tumezeeka Sana na si kwamba hatutamani michezo hiyo la hasha tunacheza ila kwenye cold room
 
Barbarosa,


Kinachoongelewa hapa sio kufanya. Kinachoongelewa hapa ni ule usiri basi kufanya na kutokufanya sio agenda, agenda kuu kwanini anajitapanya kwenye mitandao? unadhani mama wengine hawafanyi? wanafanya ili huo ulimbukeni wa kujitandaza mitandaoni ndio shida inapoanzia ova
 
Back
Top Bottom