Diamond Platinumz: Sitamani Tiffa aje kuishi Tanzania, wataniharibia mwanangu

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,112
Zikiwa zimebaki siku tatu kuelekea arobaini ya mtoto wa zuchu na Diamond, Densa wa Diamond, Moise Iyobo amemuuliza Diamond amejipangaje kuwalinda watoto wake hawa Wakike ambao tayari anao?

Diamond amesema, hatamani mwanae Tiffa aje Kuishi Tanzania Kwa sababu vijana wame mpania sana kulipiza kisasi.

Diamond pia amesema hawezi kumzuia Tiffa kuja kuishi Tanzania, ila kama atachagua kuja kuishi Tanzania atajitahidi kumlinda na yuko tayari kuonekana mbaya Kwa kijana yoyote atakaye jaribu kumsogelea.

Ikumbukwe miaka miwili nyuma Diamond aliandika ujumbe kupitia mtandao wa Snapchat unao sema;
"ni Bora ukakumbatie transfoma ya umeme kuliko kumsogelea mwanangu Tiffa nitampiga mtu shot"
1788941651421.png
 
View attachment 3666421
Mtoto wake ni pisi watamgeuza single mama
 
Unamrindaje mtoto wa kike yaani unataka asiwe wa kike ...mambo ya ushoga yana anziaga hapo ....ukimdhibiti mtoto wa kike asiwe na mwanaume maana yake unafungulia ushoga
 
Back
Top Bottom