Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

Aina shida bora yako ambae siyo boya, ila nina uhakika ulishawai tapeliwa zaidi ya hii
Mm nilitapeliwa laptop yng ninayoipenda haswa kuna kipindi nilipatwa na mattz ss nilikuwa cna sehem ya kuiweka kuna rafiki yngu nilisoma naye kuanzia form1 mpk 4 class moja na anakaa kitaa kimoja nilimpelekea anishikie na modem nilimpa asiwe mpweke nilivyorudi zngu shida zimeisha ikabid nimuache kama wiki halafu nimfuate ili afaidi kidogo na yy ..dah kumbe kaiuza kaenda zake south

Hvy tu yani
 
Hao wanaojifanya wanauza vitu mtandaoni kwa Bongo wengi ni matapeli na fursa kwao ni wingi wa vijana wa kibongo wanojifanya wanajua vitu wakati hawajui. Kuna mmoja anajiita Bracelets Tanzania huyu yeye ni bingwa wa kuuza saa feki! Eti saa aina Hublot yeye anakwambia original anaiuza kwa Tsh 150,000/=!!! Wabongo kukosa exposure kunawacost wengi sanaa.
 
Kuibiwa ni ujinga wako mwenyewe. Ukitaka kununua kitu sharti ukakague bidhaa kabla ya kutoa hela.

Umeniwahi! Hivi katika mazingira ya sasa inawezekanaje mtu uone kitu kwenye picha tu then utume pesa kirahisi namna hiyo? Jaman hebu tuwe serious na mambo tunayofanya. Hata kama ni tapeli lkn unapofanya mambo kiajabu ajabu unamsaidia kukutapel.
 
Pole kwa kutapeliwa. Hizo ndizo changamoto za E-commerce. Kufanya biashara kwa njia ya mtandao bila kuonana sio rahisi kujua nani mkweli, nani tapeli...
 
Ss hv matapeli wamejaa hasa kwenye mitandao cha msingi ni kuhakikisha unafanya kaz au biashara na m2 unaemfaham lasivyo wanaiba hata hko Fb kuna Account znajfnya wanaconnect w2 Freemason uk2ma tu hela umekwisha
 
Halafu ni picha kama vile anatoa mtandaoni anazipanga na kurusha, angekuwa anavyo yeye picha zingewekwa za utofauti kabisa.

Bora angesema anaoda na kutuma akivipokea, ila sio kihivi.

Ni vizuri umewekea wengine wasitapeliwe.

Pia jamani kuna maduka halisi haswa ya ulaya etc hata mitandao wengi wanatumia kununua. Hata wanaopiga oda kupitia wafanyabiashara wenye maofisi kwa kuchagua kutoka ktk website, wanakununulia unachotaka na kukuchaji kidogo.

Msiniulize mini sijanunua kutokea hapa nchini. Nikisafiri safiri najinunulia huko huko vya Ulaya na Marekani as ninaenda si chini ya mara nne kwa mwaka.
 
Oh yeah....? Unaendaga Marekani mara kadhaa kwa mwaka?

USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631]
 
Huyo dem ni mkenya..hata namba zake hapo juu zinaonyesha hilo..bongo anakuja mara moja moja
 
Huyu mtu yuko dunia ya ngap jmn had unaibiwa!! Those are scammers na wako wengi kwa mitandao na pengine ni dume we unahis mwanamke kwani hujui kuna wanaume wanaigiza sauti za kike na huamin kama ni dume lol pole kaka b careful wit social netwks!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom