Huyu dada ajengewe sanamu lake

Huyu dada ajengewe sanamu lake

Huruma ni moja wapo ila utapewa ile huruma ya kutiwa moyo tu, kupewa msaada ni mara chache.
Hata Bible imesema mwanamke atavunja ndoa kwa mikono yake mwenyewe. Nurture sio huruma ni care, malezi, pamoja na kuwa kiungo bora for the betterment of the family. Sasa hiyo haipo katika zama hizi za feminism
 
Wanaume hatuhitaji hizo favor, acha tupambane na hali zetu, mwanaume hahitaji kutambuliwa, yeye utambulisho wake upo bila kuomba kutambuliwa...
Matendo yanasema
Mkuu uje umewapa kichwa sana hawa, ila laiti ungejua how jamii inaangamia kwa mwanaume kuwa prey hata usinge andika
 
Wanawake wanatupigia kwenye kibwagizo kiitwacho "Mali kwa ajili ya watoto"

Kana kwamba yeye wakati anazaliwa alikuta kajengewa nyumba au mali za kutosha akaanza kutumia,kumbe alihitaji mwanamme amtengenezee life!

Ni kana kwamba wanawake wamezaa walemavu au mapooza ambayo hayawezi kitafuta Hadi watafutiwe kila kitu!

Kumbe ni tamaa zao na ubinafsi wa umiliki wakisingizia watoto kana kwamba hai ni walemavu hawawezi tafuta!

Hatubishani nao tunawaacha nazo tu na kusonga mbele coz Mungu mwenyezi hatunyimi sisi wanaume akili za utafutaji!!
🙏🙏
 
Basi utatetewa na usiache kuhudhuria vikao vya wanaume next time mfundane jinsi ya kujitetea.
We boya choka mbaya wakati wanaume wataftaji wanasanuana wewe umekaa kutetewa wanawake malaya. Kikao gani umwite mwanaume shoga ww
 
Mwanaume unajionea huruma mwenyewe tu. Baada ya kazi unajinunulia pande lako la mbuzi na bia!

Watu kukuonea huruma ni mpaka watake, usiwaalike kabisa.

Nafikiri hata hao wa zamani hawakuonewa huruma.

Sema ni vizuri, na wewe huruma yako usiitoe kirahisi rahisi!
Wewe na trauma zako ambazo unafikia hatua mpk unakimbia unahisi tunataka huruma?

Nani alisema zamani Kulikua na maisha ya namna hii, au wewe ni Gen z unalelewa na singo mama, hupati fatherly love so unaishia kuona wanaume wenzako takataka?

Hebu Ifike hatua mwanaume simama, simamia mental health yako na usiwe boya kukubaliana na mpasuko ulipo sasa.
 
You are wrong in so many ways, halafu sijui nani atakuja kukwambia usikilize, siambiliki you are.

We don’t use people’s info against them, kuwa mstaarabu.

Kwanini huu uzi umekufanya umekuwa emotional hivyo?
 
Nahisi kama sijaelewa mada hivi, nimekurupuka.

Nitakuwa makini siku nyingine.
 
Wewe pia si nimekujibu comment yako ukasema yaha then mkaanza mizaa? Na kama niko wrong mbona huoneshi ni wapi?

Wanaume wote wanaokuja kupinga hapa wanapaswa wapewe dawa wanao stahiki maana ndo hawa wana chochea ujinga.. (weak and toxic masculinity)

Imenifanya emotional because siwezi vumilia watu wanakuwa complacent kukubali ujinga
 
Nahisi kama sijaelewa mada hivi, nimekurupuka.

Nitakuwa makini siku nyingine.
Hamna mkuu, ulielewa ila ulikuja na mawazo hasi, huwezi kuwa complacent eti wanaume tumeshazoe?
Babu zako wangeishi maisha unayo ishi leo ungethrive? Ungekuwa na maadili? Familia yako ingekuwa imeungana..? Tuache kuona hii ni kawaida...

Na Ulimsikiliza zamaradi na baba levo kwenye zile clip?
 
Wewe pia si nimekujibu comment yako ukasema yaha then mkaanza mizaa? Na kama niko wrong mbona huoneshi ni wapi?
No sizingumzii wrong huko kwingine , nazungumzia comment uliyomjibu Mshamba Hachekwi.

Mizaha huwa tunafanya kusave eneji.
Wanaume wote wanaokuja kupinga hapa wanapaswa wapewe dawa wanao stahiki maana ndo hawa wana chochea ujinga.. (weak and toxic masculinity)
Weak na toxic masculinity zinakaa sehemu moja? nieleweshe
Umenifanya emotional because siwezi vumilia watu wanakuwa complacent kukubali ujinga
Zamani nilikuwa namwambiaga Natafuta Ajira “We don’t make rules , they do…. “. Na wewe nakwambia unataka ubadili jamii? ni ngumu yesu mwenyewe hakuweza. Kuvunja mfumo sio kazi rahisi inahitaji nguvu ya jamii collectively na interventions za serikali/sheria, sasa jiulize serikali ina maslahi gani kwa hili? kama haina haitofanya kitu.
 
No sizingumzii wrong huko kwingine , nazungumzia comment uliyomjibu Mshamba Hachekwi.

Mizaha huwa tunafanya kusave eneji.
Noo, nothing serious nilitoa kama mfano kuonesha anacho Fanya anakosea, sikumlenga yeye na sijui kuhusu his personal life as hakuniambia.

Na huo si mzaha I was trying to show him where he's seeing an illusion

Weak na toxic masculinity zinakaa sehemu moja? nieleweshe
Weak=no boundaries
Toxic=thinking they can make it alone

Zamani nilikuwa namwambiaga Natafuta Ajira “We don’t make rules , they do…. “. Na wewe nakwambia unataka ubadili jamii? ni ngumu yesu mwenyewe hakuweza. Kuvunja mfumo sio kazi rahisi inahitaji nguvu ya jamii collectively na interventions za serikali/sheria, sasa jiulize serikali ina maslahi gani kwa hili? kama haina haitofanya kitu.
Stop thinking that God or some higher forces is coming acha kuwa complacent kama unajua mpasuko the change starts now by changing minds. That's how Martin j Luther King did by just a simple act of giving a speech na hata baba levo na zamaradi wamefanya ivyo

Ndo maana ulikuza ego na yule mwenzako sijui epsy idgaf ukija na mzaha kwenye kitu serious
 
Back
Top Bottom