Huyu dada ajengewe sanamu lake

Huyu dada ajengewe sanamu lake

Alichokiongea kinapaswa kuzungumziwa sana, kuna usemi unasema Patriachy sio tu imewafelisha wanawake bali pia imewafelisha wanaume.

Wanaume mnaikumbatia patriarchy lakini in a bigger picture sijui kama mnafahamu mnachokikumbatia, Matarajio ya jamii juu ya uanaume wa kweli umekuja na gharama kubwa sana.
Conditioning’s na construct zilizowekwa na patriarchy zinaharamisha mtoto wa kiume kuonesha emotions au kusema nimeshindwa au kusema nahitaji msaada, hence mtoto huyu wa kiume anakua na kuwa mwanaume kamili ambaye kuonesha hisia za udhaifu ni mwiko. Impact yake ni kuwa msongo wa mawazo na suicidal rate iko juu kwa wanaume kuliko wanawake. (japo hili pia lina sababu zingine)

Anyways kama mfumo huo unafaida zaidi kwenu then yes, kama sio basi hamna budi kutuunga mkono wazee wa usawa 😅
Labda jamii itaamka na kuanza kuangazia matatizo yanayoikabili jamii yenu ya kiume.

However, Zamaradi naye anahubiri maji wakati anakunywa beer, mtu anayetambua mapambano ya mtoto wa kiume na ugumu wake aliwezaje kumzulumu yule dogo haki zake, dogo alivyofight back na kumuexpose wakaanza kumtishia maisha yeye na mumewe. Unafiki ni tabia ya wajukuu wote wa Nyerere if you know what i mean.
Hakuna cha maana ulicho andika hapa! Hii ime result kwa mfumo wa patriarchy au feminists? Acha kuzunguka mbuyu

Kinacho Leta mpasuko sio patriarchy, ni jinsi feminism na wanawake kujiona wanaweza, kujiona kuwa they're not responsible for nurturing a man while he keeps bursting his ass kutafuta familia.
Patriarchy! Kwani mwanamke hapewi fursa sawa na mwanaume? Je usawa na position si mmepewa hapo patriarchy iko wapi?

Umeongelea concept ambayo basically hai exist. Hakuna patriarchy, ni jinsi usawa ambao mmeupigania mnautumia against men, periodt..

Una chuki binafsi na zamaradi kwa sababu anasema ikweli na she built her success despite rumors. Anaakili anajielewa na anajua thamani na position yake kama mwanamke. Wanawake wengi wanamchukia and she says it more often.
 
Haya!
 
Back
Top Bottom