Huyu dada ajengewe sanamu lake

Huyu dada ajengewe sanamu lake

Kabisa!!! binti kiziwi alimjibu vizuri sana akaelezea jinsi Mfumo Dume yaani Patriarchy ilivyofanya mwanaume anaonekana ana nguvu ya pesa, nguvu ya maamuzi, nguvu ya kimwili, yuko juu kwenye kila kitu yaani kisiasa, kijamii, kiuchumi, kifamilia yaani yuko juu kwenye kila kitu!!!!

Sasa leo huyo mwanaume anataka atetewe na kuonewa huruma na nani?

Lakini mtoa mada de Gunner ameenda kumkandia na kuandika vitu vingine kabisa!!!
Tuanze na patriarchy Je Unauhakika ipo?
Au unafatiliza tu alicho Sema binti kiziwi ? Mfumo dume si ndo umefifia aubunaelekea mwisho kabisa kwa miaka 20 iliyopita mpka sasa?

Wanawake hampewi nafasi sawa na wanaume? Fursa Je? Umiliki wa ardhi na mali Je?

Tuache kujifanya hatuna macho kuona kinacho endelea na ku support over favoritism inayo mkandamiza mwanaume.

He is to provide, bado yeye huyo huyo agawane pasu kwa pasu alicho tafuta kwa jasho lake na mwanamke, then tena bado aonekane anamkandamiza mwanamke kwa mfumo dume?

Hivi zimo Kweli?
 
Mkuu, tukianza kulia lia uanaume wenyewe unapotea, ni sahihi mwanaume anakandamizwa mnooo, lakini huku kulia lia sio kwamba tunaingia kwenye mtego fulani
Hatulii mkuu tunatafuta namna ya kurudisha heshima tunayo taka kunyanganywa...
Lasivyo utakuwa hatuna sauti kama viongozi wa familia.. Baba levo pale alikuwa halisi alikuwa anapiga hoja kwa mfano mathubuti
 
Wanaume kila siku humu huwa mnajinasibu kuwa mna nguvu, mna pesa, mna maamuzi, ndiyo vichwa vya familia na mna akili kuliko wanawake na wanawake ni kiumbe dhaifu. Haya kulikoni mnataka mtetewe na kuonewa huruma????!!!!!

Huo utetezi na kuonewa huruma mnautaka kutoka kwa nani?
hatujataka huruma, we just want it known.
 
Tuanze na patriarchy Je Unauhakika ipo?
Au unafatiliza tu alicho Sema binti kiziwi ? Mfumo dume si ndo umefifia aubunaelekea mwisho kabisa kwa miaka 20 iliyopita mpka sasa?

Wanawake hampewi nafasi sawa na wanaume? Fursa Je? Umiliki wa ardhi na mali Je?

Tuache kujifanya hatuna macho kuona kinacho endelea na ku support over favoritism inayo mkandamiza mwanaume.

He is to provide, bado yeye huyo huyo agawane pasu kwa pasu alicho tafuta kwa jasho lake na mwanamke, then tena bado aonekane anamkandamiza mwanamke kwa mfumo dume?

Hivi zimo Kweli?
Wapi mwanaume amekandamizwa? Kipi hicho unachodai huoni kinachoendelea?

"He has to provide" ndiyo majukumu mwanaume alipewa japo sasa hivi hata wanawake wanafanya hivyo!!! Kugawana mali ni lazima kwa sababu hata kama mwanamke alikuwa hafanyi kazi rasmi lakini alikuwa anafanya kazi za nyumbani ambazo zilimfanya mwanaume aweze kuendelea na kazi za utafutaji kwa amani. Hilo ni jasho la mwanamke!!! Kutunza watoto na kutunza familia siyo kazi ndogo ati!!!!

Halafu kuhusu "zimo kweli? Jibu ni kwamba zimo sana zimejaa mpaka zinamwagika!!!!!😁😁😁
 
Ww boya nn unazungumzia kipindi cha Mababu zetu?.

Wanawake wa leo hawa ajiriwi? Huo muda wa kukaa nyumbani wanatoa wapi?

Mbona unataka kukwepa mada!

Huna point kabisa.
 
Kabisa!!! binti kiziwi alimjibu vizuri sana akaelezea jinsi Mfumo Dume yaani Patriarchy ilivyofanya mwanaume anaonekana ana nguvu ya pesa, nguvu ya maamuzi, nguvu ya kimwili, yuko juu kwenye kila kitu yaani kisiasa, kijamii, kiuchumi, kifamilia yaani yuko juu kwenye kila kitu!!!!

Sasa leo huyo mwanaume anataka atetewe na kuonewa huruma na nani?

Lakini mtoa mada de Gunner ameenda kumkandia na kuandika vitu vingine kabisa!!!
Umeelewa vizuri kabisa, kiasi kwamba napata shida na mtu akisoma asielewe, kukubali ni kitu kingine.

Na mimi huwa napenda kukusoma japo huwa huji kuandika sana humu, uzi wa mwisho nilikuona kwenye uzi wa Mawele.
 
Kabisa!!! binti kiziwi alimjibu vizuri sana akaelezea jinsi Mfumo Dume yaani Patriarchy ilivyofanya mwanaume anaonekana ana nguvu ya pesa, nguvu ya maamuzi, nguvu ya kimwili, yuko juu kwenye kila kitu yaani kisiasa, kijamii, kiuchumi, kifamilia yaani yuko juu kwenye kila kitu!!!!

Sasa leo huyo mwanaume anataka atetewe na kuonewa huruma na nani?

Lakini mtoa mada de Gunner ameenda kumkandia na kuandika vitu vingine kabisa!!!
Point ya Zamaradi ni kwamba nyuma ya hiyo nguvu ya kiume, kuna maumivu makubwa ambayo jamii inakataa/haitaki kuyaona.
 
Mi huwa naona ukitema cheche hata kama sitozikubali hizo cheche.

Kwa hili hapana my friend.

Hamna haja ya kusema tukusamehe, tulio wengi hatuweki mbavuni haya mambo, doesn’t mean hatuwezi kuona mtu akikosea.
What do you mean by this umeandika kimafumbo sana.

Unajua kuna mda watu wanaona wanafanya ujinga Alafu wanakaza mafuvu, nime vumilia sana, ila jana nikaona these people need to know watu wengine hatu entertain drama kwenye mambo serious.

Hakika kuna watu kama mshamba whom I've come to realize sikupaswa kumjibu namna vile, ila tayari siku consider perception ya mtu nilijibu tu.

I think you know me, Mm mtu flani napenda kuona betterment ya watu, I had no bad intentions at all.
 
Point ya Zamaradi ni kwamba nyuma ya hiyo nguvu ya kiume, kuna maumivu makubwa ambayo jamii inakataa/haitaki kuyaona.
Na mimi nikasema tunakumbatia Patriachy lakini Patriachy ina gharama kubwa sana kwa mwanaume. In a bigger picture. Kwani ninyi mnadhani maumivu ambayo jamii haitaki kuyaona chanzo chake kilikuwa nini, take trouble kutuelewesha….

Wala sikuwa mbali na Zama.
 
Point ya Zamaradi ni kwamba nyuma ya hiyo nguvu ya kiume, kuna maumivu makubwa ambayo jamii inakataa/haitaki kuyaona.
HIvi tukienda na uhalisia Kweli hiyo patriarchy ina exist Kweli? Au tunajisemea tu? Mfumo dume umesha Anza kutoweka toka in the 60s huko
 
It's a sad reality that being a provider in this generation is a thankless job.

Tunapigika mtaani, tunaficha maumivu, alafu bado tunaambiwa mwanaume hapaswi kulia.

We need more women who can see the bigger picture like her, big respect to her for being the voice of reason when most women are blinded by social media standards.

Nimeipenda hii​

HIvi tukienda na uhalisia Kweli hiyo patriarchy ina exist Kweli? Au tunajisemea tu? Mfumo dume umesha Anza kutoweka toka in the 60s huko
Bado una exist lakini kwa sura tofauti Mkuu.

Jamii bado inategemea mwanaume ndiye awe breadwinner na protector hata kama mwanamke ana pesa zaidi.

Hii expectation ya mwanaume kuwa kila kitu ndiyo mabaki ya patriarchy yanayotutesa sasa hivi, ukienda kinyume na hapo, jamii inakuita dhaifu.

Hiyo pressure unadhani inatoka wapi Mkuu kama sio huo mfumo uliokataa kufutika?
 
Hapo ndo mngenielewesha...

Kumbe mfumo unakisiwa upo ila sasa haimfaidishi mwanaume

Na mwanaume bado a nafikiri kuna patriarchy? Si ni ujinga wa hali ha juu kubelieve kitu kama hicho?

Na wanaume wengi walio weak and toxic wanakaa kwenye hiyo belief. Hatuko tena kwenye patriarchy ingawali sisi waafrika tumechelewa kidogo

Issue sio kwamba mfumo hauja futika? Issue ni kuukumbatia mfumo ambao basically haupo. Nani atatuamsha sisi wanaume,?
 
Back
Top Bottom