binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,304
- 41,419
Hapana, uko mbali na ninachojadili mimi.Bado hatuja elewana mpaka sasa
Nature huwa inamajibu yoote na binadamu mwenye elimu psychology anajiona kawa mjuzi kumbe ni Pungu asiye na ego limit! (sijasema mtu hapa)
Hivi niwaulize Swali moja dogo... How did our grandparents live? How did they know how to act? How did they manage kutulea tena unakuta familia inawatoto hata kumi na huwezi sikia komwe la mtu linatoa sauti?
It's because of the simple thing, kila mtu alikua position yake, wanawake hawaku wa diminish walipo kosea bali walikalisha chini kwa kujua he is my leader, he leada, he provides, na mimi kazi yangu ni nurture, kuhakikisha nampa environment nzuri ya yeye kufanya hivyo.. Hiyo ilikua partnership japo kuwa hata wazee wetu hawaku jua hizi terms...
Leo mwanamke kapewa uhuru, kapata kazi, kapata ujuzi... Na yeye anajiona provider, tukasema sawa, haya Fanya na wewe kuchangia kwenye kile tulicho kubali uwe basi ndo wanaanza kulia lia Wtf,?
Mzizi wa fitna uko very clear and clean haihitaji mtu kusoma psychology wala nini..
Unajua mnachekesha sana, yaani mmepewa uhuru kila kitu na bado likija swala la nyie kuprovide mnasema mfumo dume, mabavu, na kutaka kuwa diminish..
Hiki kiumbe haijawahi kuwa sawa, ndo maana mabandiko yanasema mwanaume tumia akili na si psycholojia kuishi nacho
Pia haujanipa definition ya partnership, kwakuwa yangu ulikataa.