Huyu dada ajengewe sanamu lake

Huyu dada ajengewe sanamu lake

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
10,614
Reaction score
21,150
Zamaradi..
Katika chapisho lake leo huko Instagram.. Kaongelea namna safari ya mwanaume inakuwa ngumu.

Kaelezea how society na mifumo yake haimfavor mwanaume..

Kaelezea how majeraha yetu hayasikilizwi, how tunapaswa kushow up hata kama nafsi zetu zinaumia

Katika jamii ambayo wanawake wamekua kama silaha ya kuchapa mwanaume mtafutaji Nam appreciate zamaradi kwa kutuheshimisha na kutupa moyo.

Wanawake wenye wisdom namna hii ni rare kuwapata na ni treasure kwa taifa

Na kwa jinsi mambo yalivyo magumu watoto wa kiume wanapaswa wapambaniwe sana... Kuna watu kama kina anko T na wengine wengi mtaani

So zamaradi as always huwa akipost nasikiliza ni mwanamke aliyepevuka huta Kuta anaongelea sijui mme wangu Kani cheat, sijui wanaume ni Mbwa and all that..

Wanawake kuna la kujifunza kupitia huyu mwenzenu sio kila kukicha kutafta namna ya kuwaibia wanaume as how baba levo puts it



Ni hayo tuu, weekend njema
 
It's a sad reality that being a provider in this generation is a thankless job.

Tunapigika mtaani, tunaficha maumivu, alafu bado tunaambiwa mwanaume hapaswi kulia.

We need more women who can see the bigger picture like her, big respect to her for being the voice of reason when most women are blinded by social media standards.
 
Kamjengee wewe hilo sanamu kwa heshima ya wanaume wote na umuoe .....

Hivi yule mmewe aliyemuwekaga kwenye bango kubwa bado wapo ?Anatafuta mileage tu huyo, baada ya kuona hasemwi mitandaoni ! Hivi unajia hawa wenye numbers mitandaoni wanaishi kwa ku Trend?
 
Back
Top Bottom