🤣🤣🤣🤣Haya!
😂😂😂😂 tulia!🤣🤣🤣🤣
Nimetulia mama🤣🤣😂😂😂😂 tulia!
IgweeeeeeeeeeeeWanaume hatuhitaji hizo favor, acha tupambane na hali zetu, mwanaume hahitaji kutambuliwa, yeye utambulisho wake upo bila kuomba kutambuliwa...
Matendo yanasema
Nani huyo? Na alifanya nini?
Unauhakika Dad was and always right?On point "Dad was always right" na huo ndo ukweli Mchungu.
Kaongea ukweli, mwanaume unaanzaje kutaka favor?Jamaa kawapa kichwa kweli
Nipevuke mara ngapi budda…Ukipevuka utajua
Ok.🐒Tatizo na sisi wanaume tunapendaga kujiona always rigt kumbe na mazwazwa yapo kwenye kundi letu,wapo madingo na tunawaona kwenye jamii wanawakimbia na kuzikata familia kisa wanawake wengine na kuacha watoto wanataabika bila sababu na huyo de Gunner unataka kusema always he’s right? Kunamengi sana ambayo hata sisi tunafeli sana ni basi yote ya yote tunapumua…kakae kwenye bench la maswala ya jinsia ndio utaelewa mkuu acha kuwa miyeyusho kama Tlaatlaah
Acha kubwabwaja get to the point.. Nani kasema nataka kuwa right? Tunaongea facts na siku zote wengi hawaupendiTatizo na sisi wanaume tunapendaga kujiona always rigt kumbe na mazwazwa yapo kwenye kundi letu,wapo madingo na tunawaona kwenye jamii wanawakimbia na kuzikata familia kisa wanawake wengine na kuacha watoto wanataabika bila sababu na huyo de Gunner unataka kusema always he’s right? Kunamengi sana ambayo hata sisi tunafeli sana ni basi yote ya yote tunapumua…kakae kwenye bench la maswala ya jinsia ndio utaelewa mkuu acha kuwa miyeyusho kama Tlaatlaah
Hata hizo za siku zote pia ni facts zipi unazozisemea wewe.Acha kubwabwaja get to the point.. Nani kasema nataka kuwa right? Tunaongea facts na siku zote wengi hawaupendi
Umeelewa sentensi? Nimekwambia toa facts unasema siku?
Kwahiyo lengo lako ni wanaume tupo righ 100% ama?Umeelewa sentensi? Nimekwambia toa facts unasema siku?