Huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?

Huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?

Tumia TOR Browser Amna kitu ataona mtuyeyote juu ya hii Dunia labda wewe mwenyewe
Hivi Tor browser inaingia net ya kawaida au mpaka deepweb Tu?haiko slow?unaweza download movie?
 
Umedownload app ipi
Screenshot_20210907-213313.jpg
 
Kwa sasa nacomment hapa na kitochi tecno 402, hiki nikiunga gb1 kwa wiki zinabaki mb 800. Naingia JF na website za kubeti na fb mara chache. 1gb hii hii nikiweka kwenye smartphone natumia siku 2 hadi 3.
 
Ungekuwa unaweza ku judge hvyo darasan.. Sasa hvi ungekuwa kama MO
Mwonee huruma ndugu yako..umeshampa mawazo mazito huko alipo..yaan infwaact umemwangushia kitu kizito sana kichwan
 
Kuna App moja naikubal sana nikinunua/kubadili simu lazima niidownload ya kwanza..inanifanya nijue MB nmazotumia kwa siku na pia mtandao gan unaokula sana MB....heko kwa halotel mega bando 1 GB ya halotel ni nzuri sana tofauti na wengne WANACHAKACHUA
Screenshot_20210907-215923.jpg
 
Back
Top Bottom