Huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?

Huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?

Nilijiunga kifurushi kama chako kwa 20k, mtandao huo huo, ilikuwa tarehe 1, leo nina gb 4 zinakimbilia gb3!!


Una Dk800 Mitandao yote+ Dk700 LONGA NAE+GB10+SMS500 kwa Siku30@20000Tsh. (VAT 3050.85Tsh, thamani yake 16949.15Tsh). Piga *102*00# kuangalia salio
kumbe tupo wengi....hiki hakitoshi kwakweli...ila ndio hivyo uwezo wangu umeishia hapo...
 
Natumia zaidi Wasap
Nachungulia Twitter na Jf
Na bet

Nikitaka youtube au movies najiunga na night bundle au youtube bundle

GB 1 siku 3 hadi 7
 
September 1 mpaka leo hii ni 15.26 GB zimekata, wastani wa 1.9 GB per day.

Kujibu swali lako, 1 GB natumia kwa siku tu.
Screenshot_20210909-131208_Settings.jpg
 
Back
Top Bottom