Siku tatuMimi nikijibana sana hazizidi siku mbili, wewe je huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?
youtube bundle unaweza kutumia kwenye netflix au amazon prime?Natumia zaidi Wasap
Nachungulia Twitter na Jf
Na bet
Nikitaka youtube au movies najiunga na night bundle au youtube bundle
GB 1 siku 3 hadi 7
youtube bundle unaweza kutumia kwenye netflix au amazon prime?
Noma sanaaa[emoji23][emoji23]mkuu umetishaUnatakiwa kwenda kuwauliza wakutajie kwanini uteseke?
HAHAHAHA....kama night pack ya 10GB...ya airtel inatumika ....ndanii ya masaa mawilii na nusuu....Mimi nikijibana sana hazizidi siku mbili, wewe je huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?
Kwa hiyo hutumii vpn kwenda kule xnxx3 na inabaki
Toka nioe matumizi ya bando ni WhatsApp,kubet na Jf
Kama una Tigo njoo nikupe mchongoSio mtaje tu, na mtupe michongo ya bundles aisee.
Ipi sasa?Kama una Tigo njoo nikupe mchongo
Mm natumia GB 2.5 kila siku.
GB 20 kwa mwezi 40,000
Tumia TOR Browser Amna kitu ataona mtuyeyote juu ya hii Dunia labda wewe mwenyewe