Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,962
Mimi nikijibana sana hazizidi siku mbili, wewe je huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?
😂Sio mtaje tu, na mtupe michongo ya bundles aisee.
Mtandao gani?Siku 5 nikiwa bize wiki
hatutaki jibu lakoGB....
Gb....
gb....
Nikishazielewa naweza kujibu[emoji848][emoji848][emoji848]
Uko vizuri, na hapo ukute umejibanaGb 10, siku nne.
AirtelMtandao gani?
iPhone X sio?Tangu namba za kirumi zimezuiwa situmii gb
wewe na nani?[emoji6][emoji6]hatutaki jibu lako
Itakua na familia yakewewe na nani?[emoji6][emoji6]
huhuhahaaaiPhone X sio?
Siku moja tuuMimi nikijibana sana hazizidi siku mbili, wewe je huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakua na familia yake